Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,535
Mimi sigusi, niliwahi kugusa nikakipata nilichokuwa nakitafuta. Na kiranga kiliisha. From there iweke tu hapo utaikuta kama ulivyoiacha.Eti jamani, kufuatiliana muhimu aisee ila usiwe too much, eti simu ya mtu niione kama bomu la nuclear siwezi kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu shika tu at yo own risk ila sitaki maswali, ukiona kuna ambavyo huvielewi we mute tu maana huvielewi kwakuwa simu siyo yako.