Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Mimi sigusi, niliwahi kugusa nikakipata nilichokuwa nakitafuta. Na kiranga kiliisha. From there iweke tu hapo utaikuta kama ulivyoiacha.

Yangu shika tu at yo own risk ila sitaki maswali, ukiona kuna ambavyo huvielewi we mute tu maana huvielewi kwakuwa simu siyo yako.
Hahahaaa lkn km mko kwenye ndoa kulindana ni muhimu sana vinginevyo ndoa itawashinda.
 
Point. Aiseeh we mwanamke una akili sana.
Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini

Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.

Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.

Mti wenye matunda.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Bora yako iwe yangu ila yangu iwe yangu
Unaogopa nini.

Inaonekana wewe huna wivu kabisa. Yaani hupati hata kimue mue hata kidogo cha kugusa simu ya mwenzio.

Mti wenye matunda.
 
Habr zenu wanabodi,
Leo nataka niwape hawa dada zetu ukweli nmegundua wengi wanafeli sana hapa. Dada zetu usipoteze muda wako eti unamfatilia mwanaume wako anafanya nini nk..

Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.

Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.

NB: Mwanaume haachwi kwa kucheat

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwanamke ndiye anatakiwa kufuatiliwa?

Nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna assume ww ni mpenz wangu unanipenda kweli, umetaka my phone nmegoma what do you expect??[emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahahah
Kama mna kawaida ya kupeana simu lazima akasirike ukimnyima yako
 
Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini

Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.

Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Ahahahaaaaaa khaah [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mimi sigusi, niliwahi kugusa nikakipata nilichokuwa nakitafuta. Na kiranga kiliisha. From there iweke tu hapo utaikuta kama ulivyoiacha.

Yangu shika tu at yo own risk ila sitaki maswali, ukiona kuna ambavyo huvielewi we mute tu maana huvielewi kwakuwa simu siyo yako.
Mhhhhh
 
Back
Top Bottom