Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

 
 
Vinajizamisha makusudi, ila vinajua sana kuogelea kwa hiyo haviwezi kufa.
Zile huwa mbwembwe za kutongoza tu.

Duh umenifanya nimecheka mpaka.swimming pool gani hiyo ?wanaokolewa au wanaachwa.wewe ni kiboko
 
King'asti, njoo ushuhudie, kumbe paw ana kifua kama plastic?

 
Last edited by a moderator:
Natalia yaani ndio umetuponda hivyo jamani! Baba yako ni mzungu,alafu wewe unaonekana mzembe,eti ananipikia,suprise kibao,chumvini kama kawa,haya yote hata wabongo wanaweza bana.sema wewe ni gold digger.
 
Last edited by a moderator:

There we go...So hiyo mambo umesema ndio inawafanya hata ukichana na one mzungu you go hunting for urself another one? Till death do u apart?
 
Nafikiri ni maamuzi ya mtu.....halafu hawa wakaka zetu wa kiafrica hawajui mapenzi kabisa. Wengi wao sex ndio kupenda, thats realy wrong!
 
Do you. Ukishangaa ya Musa kwa wazungu kesho watakuja watalii kutoka Alpha Centauri au Andromeda galaxy, utaona ya firauni.

As long as mtu si mtoto, what do I care kama akiamua kutoka na Wajaluo tu, Wajapan tu au Wafaransa tu?

Kwa nini habari zake huyu mtu baki zinihusu mie?

Whats next? Kuchunguza jaa lake nijue kama anakula steki au dagaa kauzu?

Wabongo wengine tuna muda sana wa kuchunguzana, kuliko Chekist Soviet right out of an Aleksandr Solzhenitsyn narrative.

Dalili ya kukosa shughuli.
 

Mkuu nadhani jamaa hapa anaongelea wazungu siyo wakurya.
 
aisee niko hospitali nimelazwa,kuna mkaka mzungu sijawahi kumuona handsome kama yeye halafu mpoleeee sijui nitampataje mwenzenu i love him for real ila kuweka first move hilo ndio sitafanya kwa jinsi alivyo mzuri sidhani kama atakuwa hana galfriend
 
Sio wadada tu wanaotafuta wazungu. Vipi kuhusu wale vijana wadogo wa kiume ambao huwa hawachani nywele na wanaongozana na vibibi vya kizungu? Kwani wenyewe hawawaoni mabinti warembo wa kiafrika?
 
Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu ni wakweli.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo sio wa kweli.

kwaiyo nani ni bora kwake?

Asilimia 99 ya wanume wa kizungu upenda maendeleo ya mke wake.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo hawapendi maendeleo ya mke wake, sababu mke akiendelea anaogopa kukosa mamlaka na kummiliki.

Kwaiyo nani ni bora kwake?


Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu hawana nyumba ndogo, na hawazai nje ya ndoa, hawatoi mali kwa hawara, hawadhamini hawara kuliko mke.

Asilimia 99 ya wanaume wa kibongo nyumba ndogo lazma iwepo kabla ya ndoa, kuzaa nje ndio kawaida hata na wanawake 3, atatoa mali hovyo na kukuacha mke uteseke, na atathamini hawara kuliko mkewe.

NANI NI BORA KWAKE?

Mwanamke wa kiafrika akijingiza kwa mzungu inakua ngumu kurudi kwenye matatizo kwa muafrika mwenzie.
Nikipata muda nitaongeza.
 

Kwanza kabisa uache wivu. Naona wanaume wengi wa kibongo wanachukia sana wakiona mabinti wa kiafrika wanaopenda wazungu. Kwa nini? Kufanya uamuzi ni haki ya kila mtu.

Pili ukitaka kujua kwa nini wadada hawapendi wabongo, ujue ni kwa sababu ya vifuatavyo...

1) Kwa ujumla wanaume wa kizungu hawana tabia za nyumba ndogo, wanapenda kuridhika na wake zao
2) Wanaume wa kizungu hawana tabia ya kutelekeza familia zao na watoto wao. Wabongo ndo ni balaa, wanazaa watoto ovyo halafu hawataki hata kuwatambua. Tabia chafu kabisa
3) Wanaume wa kizungu hawana tabia za ukatili, wanawaheshimu wake zao. Mbongo anaona ni haki kabisa kupiga mke
4) Wanaume wa kizungu wanaona kuna usawa kati ya jinsia zote. Wabongo wanawafanyia wake zao kama ni housegirl, wanaenda kukaa kwenye baa mpaka usiku na wanarudi nyumbani kwa ajili ya kula chakula na kulala tu
5) Kwa ubaya wadada wengi wanafikiri kila mzungu anazo hela nyingi. Nadhani unajua siku hizi wasichana wengi hawataki upendo, wanataka pesa tu

Najua nitatukanwa lakini sijali, wanaume wetu wakiendelea na tabia zao za kijinga wasichana wataendelea kuwakimbia.
 

....

Ndio maana mapenzi yakiisha na mzungu mmoja unaenda kutenga kupata mzungu mwingine...huwezi tena ishi na mswahili weye ni wazungu tu?

Ndio maana wakati mwingine inabidi uendee sehemu ambazo wanapatikana ili kuendeleza ule uzi wa kuwa na wazungu tu? kwa kuwa wanaume wa kiafrica ni wakatili? Dhana potofu kabisa hiii...anyway sio mbaya..ila nachojiuliza mpaka mkatege kwenye hotel kubwa kubwa na kupewa majina mabaya...ni kwa sababu zote hizo za ulizotoa hapo juu?
 

Hizo statistics za kupika au za tafiti? Kama za.tafiti basi tunaomba source. Kama sio basi ingekua bora unze post kwa kusema kua ni hisia zako na hazina base yoyote ya kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…