Dada zetu mnatuabisha jamani na tabia zenu mbaya

Hatutaki.......tunahitaji mabadiliko.........
 
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi.

Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na mawazo yasiyo na mwelekeo utayasikia.

Ameolewa lakini kutwa kiguu na njia mitaani.

Badilikeni jamani
Mkuu Lakini Kumbuka Ukikutana Nae, Aikupunguzii Kitu Wala Kukuongezea, So Unaachana Nae Tuu. Kila Mtu Na Interst Zake.
 
tena usiombee kaishi form four ....wana maneno ya ajabu mpaka unajiuliza nn hiki! Yaani hawaizii kesho... ver bored ...
 
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi.

Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na mawazo yasiyo na mwelekeo utayasikia.

Ameolewa lakini kutwa kiguu na njia mitaani.

Badilikeni jamani

tena usiombee kaishi form four ....wana maneno ya ajabu mpaka unajiuliza nn hiki! Yaani hawaizii kesho... ver bored ...

Hao ndio Malaya wa mujini. MBA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom