Dada zetu mnaopanda daladala mnatuboa

Joined
May 22, 2026
Posts
49
Reaction score
99
Leo nilikuwa naenda town, bahati mbaya gari nililosimamisha lilikuwa limejaa. Sasa bhana kuna Mdada mwenye Makebo Makubwa akawa amesimama mbele yangu.

Sasa Gari likaondoka ee bhana ya Mungu mengi, kutokana na msongamano, akawa ananigusa mara kwa mara kila gari lilipopiga breki au kuondoka. Aisee nilijikuta nikiwa uncomfortable sana. Hivi mnashindwa kusimama kwa namna inayowapa watu wote nafasi jamani?

PLAY SAFE BE POSITIVE
 
Duh
 
Kwanini hukugeuka nawe ukamgusa na makebo yako?
 
namuonea huruma saana.
 
Ulipenda kufanyiwa hivyo 😀
 
Haha 🤣😃, aliku vayolensi kisaikolojia aise pole sana, ungeomba ata namba ili ukafanye kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…