Nilianza kumsifia kwa vitu vingine lakn story zilivyo noga nikamdokeza jambo hilo tena kwa utani kabisa lakini slowly issue ika turn into a hard topic.. And i didn't mean to be in that way... Lakn nikaanza kupata michambo ya gafla nadhani ningeendelea kukaa ningemwagiwa hata hiyo chai ambayo ilinishinda kunywa kwa harufu ya mkorogo.Mifuta kweli ina harufu kali sana.
Ila weupe wa kujichubua nao mbaya full nakoz.Mtuache wenye weupe wetu wa asili.
Kama mbaya mbaya tu ata ufanyeje.
Ila we mkaka umekosea aisee ungemwambia ata kwa utani.
Siku nyingine uwe na subira. Sasa umeharibu Eid ya watu bure. Ungevumilia halafu ungemwambia siku nyingineLeo katika kupeana salamu za Eid Mubarak.. Nikawasiliana na rafiki angu wa kike wa miaka mingi toka form one mpaka sasa kila mtu ana maisha yake... Katika salam za hapa na pale na hatujaonana kama mwaka hv..
Akanialika kwake nikapate chai na chakula cha mchana, basi nikaona sio tabu na vile kitambo hatujaonana nikajikokota mpaka kwake ni mbali kidogo... Kufika pale nikapokelewa vzuri na bidada mpaka ndani..
Kwa kuangali tu nikaona kama bimdada ametoka kuoga sasa maana alikua amejifunga kitenge, kilicho nishtua yule dada zamani alikua na rangi yake nzuri "black beuty" lakn leo nilivyomuona usoni ni mweupe lakin mgongo, vidole, miguu ni "black"..
Basi nikajikaza mwanaume nikaandaliwa chai pale sasa mimi huwa nna kichefuchefu flani hv nikisikia mafuta hasa huwa nayasikia kwa wahudumu wa Bar.. Nadhani ndo ya kujichubua hayo..(sina uhakika lakin maana hata siyajui) ila harufu niliisikia mpaka kwenye kikombe cha chai..
Ile chai ikanishinda kabisa nikajishaua nitakunywa baadae tupige kwanza story. Katika story nikamwambia live kwanini unanichubua akakataa kata kata akasema ndo alivyo hivyo.. Nikampa ushauri pale nikamsema sana anajiaribu kwa kujichubua..
Basi maneno yakamchoma.. Kapandwa na hasira akaanza kutoa maneno pale mwisho wa siku urafiki wetu akauvunja akasema nisimfatirie maisha yake.. Basi nikafukuzwa pale chai na pilau likaingia "shubiri"..
Swali kwa Dada zetu kubalini kuambiwa ukweli.. Unakuta kidada kinakwambia " I need some who can tell me the truth" havijui kama ukweli unauma ukiwaambia wanakasirika..
Acheni kujichubua jamani na ile harufu mnayotoa ya mafuta ya kuchichubua mkitoka jasho si ndo balaa[emoji87] [emoji87]
Eid Mubarak wadada wote mlio tunza rangi zenu.
Ameeeeen "in mzee wa kuamsha dude's voice"Mkuu umemwaribia siku yake, lakini nahisi umeepushwa na kitu ambacho labda kisingekuwa heri kwako kama mungeendelea na mazungumzo mpaka mwisho bila bugudha.
Alitaka akutege huyo.Mshukuru Mungu umenasuliwa kwa njia ambayo hukuitegemea.
Mkuu utasifiaje ujinga?Huyo dada atajisikia vibaya wiki nzima, umemharibia sana siku yake. Wanawake hawapendi sana umkosoe kosoe kwenye masuala yanayohusu mwili wake. Jifunze kuwa gentleman badala ya ku focus kwenye vitu vinavyo kukera focus kwenye vinavyokuvutia hata kama ni vichache, kisha umsifie kwenye hivyo vitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii watu muna manenoPussy iliyochubuliwa?
Vijana wa kizazi cha 90s mnapenda sana story za mapenzi kwann? Tanzania ya viwanda ni ndoto kwa hali hiiLeo katika kupeana salamu za Eid Mubarak.. Nikawasiliana na rafiki angu wa kike wa miaka mingi toka form one mpaka sasa kila mtu ana maisha yake... Katika salam za hapa na pale na hatujaonana kama mwaka hv..
Akanialika kwake nikapate chai na chakula cha mchana, basi nikaona sio tabu na vile kitambo hatujaonana nikajikokota mpaka kwake ni mbali kidogo... Kufika pale nikapokelewa vzuri na bidada mpaka ndani..
Kwa kuangali tu nikaona kama bimdada ametoka kuoga sasa maana alikua amejifunga kitenge, kilicho nishtua yule dada zamani alikua na rangi yake nzuri "black beuty" lakn leo nilivyomuona usoni ni mweupe lakin mgongo, vidole, miguu ni "black"..
Basi nikajikaza mwanaume nikaandaliwa chai pale sasa mimi huwa nna kichefuchefu flani hv nikisikia mafuta hasa huwa nayasikia kwa wahudumu wa Bar.. Nadhani ndo ya kujichubua hayo..(sina uhakika lakin maana hata siyajui) ila harufu niliisikia mpaka kwenye kikombe cha chai..
Ile chai ikanishinda kabisa nikajishaua nitakunywa baadae tupige kwanza story. Katika story nikamwambia live kwanini unanichubua akakataa kata kata akasema ndo alivyo hivyo.. Nikampa ushauri pale nikamsema sana anajiaribu kwa kujichubua..
Basi maneno yakamchoma.. Kapandwa na hasira akaanza kutoa maneno pale mwisho wa siku urafiki wetu akauvunja akasema nisimfatirie maisha yake.. Basi nikafukuzwa pale chai na pilau likaingia "shubiri"..
Swali kwa Dada zetu kubalini kuambiwa ukweli.. Unakuta kidada kinakwambia " I need some who can tell me the truth" havijui kama ukweli unauma ukiwaambia wanakasirika..
Acheni kujichubua jamani na ile harufu mnayotoa ya mafuta ya kuchichubua mkitoka jasho si ndo balaa[emoji87] [emoji87]
Eid Mubarak wadada wote mlio tunza rangi zenu.
Aiseeeeee, kumbe weupe dili bwana, nina zaidi ya rafiki toka chuo kikuu alikuwa na keusi balaaah ila sikuhizi nayeye anarangi ya mtume hah hah hah japo namuonaga kwa vipicha vyake akiviposti!!