Dada zetu kubalini kuambiwa ukweli

Binti akitumia mkorogo tu hata kama ni mzuri kiasi gani siwezi kumpenda hata chembe.
 
Yani sijui wana mentality gani why ujichubue?? Mie na weusi wangu napeta tuu kwa raha zangu weusi wa kuteleza. Mkuu mtoa mada usemayo ni ukweli sijui wanapakaga mafuta ya aina gani harufu kama mabibo ya korosho.
 
Mie nashukru kuna mdada wa Tz nilikutana nae Uganda,baada ya kuanza mahusiano ya kunanihii nilimwambia kuwa sipendi anavyojichumbua. Kweli alisema hata yeye aliingia kwa kuiga baadae akanielewa na siku hiyo nikamnunulia ZIKUZOOKA tatu (ukizingatia nina uzoefu mkubwa na vipodozi) aanze dose ya kurudi katika ngozi yake asilia. Nashukru hadi leo anajuta kunimiss japo naamini masela wanamega tu kitu nilichokishauri mimi kiache
 
Kuambiwa ukweli sio tatizo, ila huo ukweli unauwasilishaje ndipo penye tatizo. Na hilo sio tatizo la wanawake tu, sidhani hata wewe ukikosolewa kihivyo ungejisikia vizuri. Mbona wapo hadi wanaume wanaojichubua!!!
 
Hahahaaa ile harufu kama unapita kibaha pale kwa wachoma korosho
 
Mie nashukru kuna mdada wa Tz nilikutana nae Uganda,baada ya kuanza mahusiano ya kunanihii nilimwambia kuwa sipendi anavyojichumbua. Kweli alisema hata yeye aliingia kwa kuiga baadae akanielewa na siku hiyo nikamnunulia ZIKUZOOKA tatu (ukizingatia nina uzoefu mkubwa na vipodozi) aanze dose ya kurudi katika ngozi yake asilia. Nashukru hadi leo anajuta kunimiss japo naamini masela wanamega tu kitu nilichokishauri mimi kiache
Uliwatengenezea masale wapenda black beuty
 
Kuambiwa ukweli sio tatizo, ila huo ukweli unauwasilishaje ndipo penye tatizo. Na hilo sio tatizo la wanawake tu, sidhani hata wewe ukikosolewa kihivyo ungejisikia vizuri. Mbona wapo hadi wanaume wanaojichubua!!!
Kuuzunguka zunguka ukweli hutegemea na uhusiano wako na Huyo mtu. Ukiwa rafiki angu nakupa makavu si saturate ng'o but kama hatufahamiani ndo nitasaturate angalau hata na mate hivi. Well done mkuu wape wape vidonge vyao wakimeza au wakitema shauri yao.
 
Back
Top Bottom