KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,837
- 2,427
hahahaha isitoshe alikuwa kaandaliwa na mengine ya ziada. kaharibu siku ya mtuBaada ya kula mahanjumati ya watu mkuu hii ndiyo asante yako.
hahahaha isitoshe alikuwa kaandaliwa na mengine ya ziada. kaharibu siku ya mtuBaada ya kula mahanjumati ya watu mkuu hii ndiyo asante yako.
Huo si utakuwa ni unafiki Mkuu?Huyo dada atajisikia vibaya wiki nzima, umemharibia sana siku yake. Wanawake hawapendi sana umkosoe kosoe kwenye masuala yanayohusu mwili wake. Jifunze kuwa gentleman badala ya ku focus kwenye vitu vinavyo kukera focus kwenye vinavyokuvutia hata kama ni vichache, kisha umsifie kwenye hivyo vitu.
Leo wapi Mkuu?Umemwaribia mrembo wa watu idi bora umemwambia ukweli lakin
Kuna harufu moja balaa asee... Yani hata nikiwa hotelini/Bar huwa nachagua dada wa kunihudumia maana ile harufu hamu yote ya chakula au kichwaji inaishaDah umemwaribia siku bidada lakin ukwel unachomachoma wanazngua sana hawa Dada zetu wanaojichubua wakati wa jua wanatoa harufu ukimkaribia dah unakuwa Na kichefuchefu
Kila tukipiga story anasisitiza nimwambie kweli kuhusu chochote kumbe hana kifua.. Alijua labda ningemsifia kwa kuharibu uso..Kiukweli yale mafuta huwaga yana harufu kali sana yakuchefua, pole ila nawe si ungekausha tu mwili wake mwenyewe mwache aubadilishe atakavyo.
Mpaka sa hv bado ananitumia msg haamini kama ningemwambie vile.. Najua leo ana hasira ila kesho atanifuata tu.. Maana analiaga shidashida sanaMleta mada hongera sana kwa kuwa mkweli, hakika pamoja na kwamba amechukia ila kuna mwimbaji katika wimbo anasema message imekuwa RICHABO....HAKIKA WANABOA INGAWA NAJUA WASHIRIKA WATAMWAGA POVU HAPA, WAKIMWAGA POVU DEKIA ROOM MKUU. Ukweli lazima usemwe.
Mpaka sa hv bado ananitumia msg... Haamini kama ukweli leo umesemwa.. Anasema eti mchumba ake ajamwambia mimi ndo nakihelehele... Nikamjibu labda kama uyo mchumba ake ni mkongo ndo maana hajaona hyo kasoroHapo sikukuu yake imeingia doa huenda kaenda kulala baada ya wewe kuondoka
Leo nipo home tu aiseeLeo wapi Mkuu?
Pussy iliyochubuliwa?
Hamwagi mtu povu hapa, maana wote tutajidai tuna natural colour mkuuMleta mada hongera sana kwa kuwa mkweli, hakika pamoja na kwamba amechukia ila kuna mwimbaji katika wimbo anasema message imekuwa RICHABO....HAKIKA WANABOA INGAWA NAJUA WASHIRIKA WATAMWAGA POVU HAPA, WAKIMWAGA POVU DEKIA ROOM MKUU. Ukweli lazima usemwe.