Dada zetu, hii maana yake nini?

Dada zetu, hii maana yake nini?

This is one of the signs of a desperate woman. A woman who moves in albeit forcefully into a man's home to try and establish a form of possessiveness hoping the man will be coerced into commitment.

Such a dumb move.

Men hate/fear commitment. Moving into his home without his invitation leaves a lot to be desired. He may really like you but clinging sends him scuttling without a second thought.

Some aspects of a relationship are best left to a man to make a decision.... if he invites you into his home then do so but play according to his cue. A pair of pys, a pair of jeans... not the whole closet.

Nakupendajee sasa!!
 
Asante sana mkuu!
 
Hiyo inaitwa "territorial marking", hata mbwa hukojolea sehemu anazopita ku mark territory yake. Sasa hivyo vijijanakike unavyofanya navyo zinaa vinaweka marking yao.

Kapime UKIMWI.

Nimeshapima mara kadhaa mkuu, niko salama kabisa!
 
ni kweli kufanya hvyo il m2 akija ajue unampenz hasa mgen wa kike ambae huna udugu nae coz kuna wengne huwa wanakuja kuchunguza mtakuta mmewambia hamna wapenz akja kwako akikuta hvyo mnaachana xo inapendeza kuacha poch,khanga na chup 2
 
Tuassume una girlfriend wako ambaye ni mwanachuo/mfanyakazi, hivyo hamuishi pamoja yeye huja kukutembelea au kulala mara moja moja. Wewe mwanaume ni mfanyakazi.

Kitu nashindwaga kuelewa:

Utakuta huyu bidada anaacha vitu vyake kama chu.pi, khanga, pedi, handbag n.k. Kuacha hivi vitu sio kesi, tatizo ni kwamba anaviweka sehemu ya kuonekana na akikuta umevihamisha kuviweka kwenye kabati anakua mkali kama mbogo aliyetoka kujeruhiwa!!! Inakua mbaya zaidi kama mwanaume umepanga chumba kimoja, mgeni akiingia akakuta chup.i ya kike imetundikwa hadharani sijui ataondoka na picha gani!!! Au pedi iko mezani!! anaweza akadhani wewe ni SHEMALE!!

Ilinitokea mimi kipindi cha nyuma na leo imemtokea jamaa yangu.

Labda tuwaulize tu ninyi wadada, haka katabia maana yake nn? dada mmoja amenidokeza eti mnafanya hivi ili mwanamke mwingine akija kwangu ajue nina mpenzi! lakini bilashaka kunaweza kukawa na sababu nyingine...

Hebu tiririkeni

KAMA UMEAMKA NA HANGOVER USICOMMENT TAFADHALI, USIJE UKACHAFUA HALI YA HEWA.

Mi nimepapenda hapo kwenye shemale!!
 
kuacha nguo hakumaanishe kuchunga kwanza nikiacha kitu mahali ni kwa kusahau sio kwa kuchungua kwanza mtu akitaka kufanya lolote chupi au ped haiwezi zuia kitu....mwanamke unaachaje ped na chupi mezani naweza kusema ni uchafu.....jiamini kama unataka kuacha vifaa vyako kwa bf wako weka kabatini au sehemu husika
 
Ila na nyie mkome, mcheze kwa step. Mnajidai playas wakati hamuyawezi. Playaz walikuwa baba zetu nyie bwana wanna be playaz.

Now stone me but thats the truth.

Mkuu ulianza vzr ila unataka kuharibu huku mwishoni.

Mipasho ya nini tena!

Umetiririka na kueleweka vzr.

Inatosha.
 
Ivi hizi mada huwa wana copy na kupaste?
Niliwahi iona hii huku, anyway mie sina jibu.

Mwenyewe hadi nimeagalia tarehe ya kuposti nilidhani ni ya 2013 labda mtu mwingine kachangia ndio maana ameirudisha mapokezi!
 
kuacha nguo hakumaanishe kuchunga kwanza nikiacha kitu mahali ni kwa kusahau sio kwa kuchungua kwanza mtu akitaka kufanya lolote chupi au ped haiwezi zuia kitu....mwanamke unaachaje ped na chupi mezani naweza kusema ni uchafu.....jiamini kama unataka kuacha vifaa vyako kwa bf wako weka kabatini au sehemu husika

Logical thinking...
 
Back
Top Bottom