Dada zetu, hii maana yake nini?

Dada zetu, hii maana yake nini?

Hahahahhaa kuna mmoja nilimuuliza akasema eti wao ni kama mbwa,
Anvyokua anakojoa kojoa sehem tofauti eti uwa ana mark territory ili mbwa mwingine asikojoe pale. Na wao wana do the same kwa kuacha vitu kama ivyo. Nawengine wao wanapenda kununua vitu kama picture frame na wanaweka picha zao room kwako.
 
Hiyo ni tiba mkuu.

Maana kuna watu humu wana kisharuwele...

Wanazuga kama hawajui haya matukio yanajirudia..

Mkuu nakushukuru kwa kweli

Manake kuna watu wa ajabu sn ambao wakiona uzi unafanana na wa flani wanaanza kutokwa na povu

Wkt haya mambo hujirudia wkt mwingine....
 
huwezi ukaelewa akili ya mwanamke inachokiwaza hata mara moja mi huwa nabaki kushangaa tu mambo mengine
 
Mkuu nakushukuru kwa kweli

Manake kuna watu wa ajabu sn ambao wakiona uzi unafanana na wa flani wanaanza kutokwa na povu

Wkt haya mambo hujirudia wkt mwingine....

Sijui wanataka yakikukuta ufe na maumivu yako, usiombe ushauri au kuwashirikisha watu wengine.



HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA WOTE NI YALE YALE
 
Jirani hata mimi wifi yako huwa anazitundika chumbani kwangu.

Je, atakuwa ananifanyia makusudi????

hahaha ndio ni makusudi na na wengine jinsi ya uwekaji wanaweka na alama akikuta ndivyo sivyo utajieleza ilikuwaje
 
Hukusomaga Berlin Conference ya 1884 Mkaka kuhusu scramble and partition of Africa kipengele mojawapo cha mkataba ule kilisema 'COLONIZATION SHOULD BE FOLLOWED BY EFFECTIVE OCCUPATION" hiyo inaitwa effective occupation ili kuonyesha wavamizi wote kuwa koloni tayari linakaliwa Babu. Habari ya Mujini. (This principle became important not only as a basis for the European powers to acquire territorial sovereignty in Africa, but also for determining the limits of their respective overseas possessions, as effective occupation served in some instances as a criterion for settling disputes over the boundaries between colonies. However, as the Berlin Act was limited in its scope to the lands on the African coast, there were numerous instances where European powers claimed rights over lands in the interior without demonstrating the requirement of effective occupation articulated in Article 35 of the Final Act)

 
hahaha ndio ni makusudi na na wengine jinsi ya uwekaji wanaweka na alama akikuta ndivyo sivyo utajieleza ilikuwaje

Nipe uzoefu wako nifanyeje jirani yangu, maana hata viatu na nguo pia nimeachiwa geto.
 
Hayo mengine tusubiri kikwete akujibu, ila hili la TANESCO siwezi nyamaza, bei ya umeme ipo juu hata kabla net Group hawajapewa tenda, yaani tuseme tangu shirika lilipo anzishwa, huwa gharama zingine zinatokana na ukweli kwamba baadhi ya watumiaji hawalipi bili, kama serikali, chama nk. Hili linasababisha wanaolipa walipe zaidi.

sababu ingine ni mikataba mibovu ya tangu enzi, ama waliingia hiyo mikataba kwa makusudi ili wapate takrima, ama waliingia hiyo mikataba kutokana na shinikizo la WAKOLONI (k.v. Benki ya dunia nk.) Hivyo usitegemee tanesco ishushe bei wakati bado inaingia mikataba ya kinyonyaji kama ya IPTL na SONGAS, tena shirika bado lina madeni zaidi ya bilioni tano! (utaambiwa walinunua vipuri, sijui kwanini hawakulipa "cash"?)

Suluhisho la yote ni kubadili sera ya nishati, lazima nchi ijitegemee katika nihati na tusibinafsishe au kuwapa wageni jukumu la kutuzalishia nishati.

Lolote lile lifanyike ili taifa liendelee na jukumu la kuzalisha umeme ndipo angalau bei inawaza pungua. vyanzo vya umeme wa uhakika tunavyo kama vile Gesi na makaa ya mawe, nahata maporomoko ya maji bado yapo mahala pengi tu nchini?

Umeme wa maji ndio ulio nafuu baada ya ule wa atomoki, juhudi zifanyike ili kuzalisha umeme mdogo mdogo wa maji katika mito yote nchini.

Pia umeme wa nguvu ya upepo na wa mionzi ya jua unafaa sana hasa vijijini ambako miundombinu ya gridi ya taifa haijafika.

U are so stupid...
 
Hivi sio kusema kama ni chupi inakuwa mpya and imepigwa kaunyunyu kwa mbali ili uone jinsi alivyomsafi! Mhhh nahisi niko nje ya mada sijui ndio hii hangover
 
Back
Top Bottom