Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
- Thread starter
- #41
Mie mashost wangu ni males tu...
Lazima wapo wale wachache wa kike...
Mie mashost wangu ni males tu...
Wamasai wanaume huwa wanaacha fimbo mlangoni ili mwenye mali akirudi ajue kuna mtu ndani hivyo kwa mabinti wenye tabia hiyo lengo ni hilohilo kwamba ukiingiza mtu mwingine huyo mtu aone hivyo vitu na kujua kuwa hapo si mahala pake kuna mwenzake!
wanaacha suruali?!!,kumbe na wewe ni bacherol mkuu.?.Kuacha nguo mahali sio issue. Issue ni unaziachaje? Hata kwangu kuna wageni wanakuja wanasahau suruali ama khanga, inafuliwa na kuwekwa kabatini.
najua udaku wenu, mnadhani zinaachwa ili mfumaniwe? Siku hizi hata ukilinda ferry watu wanavua samaki bagamoyo. Mtu anaonekana na kitambi kabisa na pete kama bango la tigo na bado wajuba wanamega!
Sasa mbona jibu ni rahisi tu hapo, akiacha vi2 vyake we muhifadhie kabatini. siku akijatena unaviweka palepale alipoviacha siku aliyoondoka
wanaacha suruali?!!,kumbe na wewe ni bacherol mkuu.?.
Sasa akiacha suruali anaondoka na boxer ama?
Lazima wapo wale wachache wa kike...
Sasa mbona jibu ni rahisi tu hapo, akiacha vi2 vyake we muhifadhie kabatini. siku akijatena unaviweka palepale alipoviacha siku aliyoondoka
wanaacha suruali?!!,kumbe na wewe ni bacherol mkuu.?.
Sasa akiacha suruali anaondoka na boxer ama?
Anyway, naona unanilazimisha niongee kitu...
kama its your house, you make your own rules ambazo mgeni yoyote including girlfriends/michepuko lazima ifuate.
Therefore, wewe ndio unapaswa kumuonyesha mtu wako kipi anapaswa afanye na kipi asifanye. Kama hafati rules zako, show it to her kwamba umekereka and hutaki kuona tabia hiyo, kama hawezi, asiweke mavitu yake ndani kwako. simple.
Huna jibu ina maana hujawahi kuacha?
Akiweka tena hamisha, akiwaka mwambiie kwamba mbona unauwwezo wa kuhamisha yeye akiwa hayupo na kurudisha akirudi>>>>Hajiaamini tatizo.
wanawake wakipata men wanakuaga kama wamejisusa hivii, wanafanyaga vitu mpaka vya aibu waziwazi. an.aweza anika chupi hata mlangon yaaaan hatar sana
mmmh wanawake hatujiamini kwenye mauhusiano na hyo tabia nwivu
hahahahaha mmetingwa jaman mie napitawanaacha suruali?!!,kumbe na wewe ni bacherol mkuu.?.
Sasa akiacha suruali anaondoka na boxer ama?
Afadhali ujisemee mwaya...