Dada zetu, hii maana yake nini?

Dada zetu, hii maana yake nini?

Mkuu Utingo sio kuwa wanafunuana?.

kwa mila zetu mwanaume ndiye mwenye 70% on sex hivyo anamfunua. lakini ili uipate sex ya mwanamke lazima utrade 70-80% kwa mwanamke nawe ubaki na 20-30% ndiyo maana wanatuendesha kadri wanavyotaka
 
Sisi binaadam ni kama wanyama wengine , kama simba anavyo weka alama ya harufu eneo lake ili samba wengine wasisogee na kama kama ilivyo semwa hapo juu -wadada wana tia alama eneo lao - akitokea mwingine kakosea njia ajuwe kuna mwenyeji hapa
 
hahahaha uwii nilikuwa sijui kuuumbe, subiri na mim nianze kumbe ni namna ya kujilinda. Ngoja nianze kuchunga kamzigo kangu na mm
 

Attachments

  • 1396177748970.jpg
    1396177748970.jpg
    56.7 KB · Views: 102
Back
Top Bottom