Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Je mwaweza kuitumia hii kitu? Au ndio "vichogo"?
Nimepata taswira ya sikukuu hapa mkuu..............huna oicha ya mchele hapo pembeni?
huu ndio ule ulioko Bandarini? mbona haunukii
Supa ya ukweli.........
![]()
sasa mkuu unataka ikunwe ya mkwe ama ya mume??
Funguka zaidi please
Aisee, this is very serious.
safi mchele kama wa kioo
Supa ya ukweli.........
![]()
Je mwaweza kuitumia hii kitu? Au ndio "vichogo"?
![]()
waijua maana ya nazi wewe??
basi nikifunguka uzi utapandishwa juu.
kiufupi tu, nazi ya mkwe hukunwa kwa staili tofauti na nazi ya mume.
waijua maana ya nazi wewe??
basi nikifunguka uzi utapandishwa juu.
kiufupi tu, nazi ya mkwe hukunwa kwa staili tofauti na nazi ya mume.