gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
afu ajabu, wakati tunafundishwa kukuna nazi na mama, tumefundishwa kukuna ya mkwe. Hivi hakuna style ya kukuna nazi ya mama?
ndo cha ajabu hicho. hata mama anasisitiza kabisa kuna hivi hii ni nazi ya mkwe.