Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,841
hata hao wanaume wapo wa kutosha...yanini uolewe na mwanaume usiempenda...ukamtese tuKumbuka mko wengi!
Halafu mtu una akili timamu unakosaje kuweka Vigezo vya mtu unaemkataka...eti kisa wanawake tupo wengi?