Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Kuna dokta aliwahi mpima mshkaji wangu wiki 3 baada ya kufanya tendo na akamhakikishia hana maambukizi. Hivi huyo daktari alikua anatumia vigezo gani???
PCR inaweza onyesha nafikiri hata chini ya wiki hizo.
 
Daah kavu tamu..[emoji12]mi napigaga Ndomu mlege kama nyapu siiamini ila daah sometime tuna risk sana
 
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali,kuna wanaosema zinawasha,zinapunguza radha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.Hatukatai basi kama hilo ni jambo ngumu kwenu msicheze rafu sana angalau muwe mnachukua tahadhari kidogo ikiwezekana mkacheki afya na wenza wenu kabla ya kuunganisha vikojoleo sio mnavamia tu wanaume mtakuja kufa kabla ya siku zenu.
Leo mwenzenu yamemkuta amekutana na wanaume watatu tofauti tofauti alafu wote bila kinga, nimemuacha pale kituoni analia,yamemkuta Makuu

Binamu
Yaani kakutana Na wanaume watatu Leo kavu kavu kapata virusi Leo Leo .kapima majibu Leo Leo au sijaelewa?
 
Huyo hajipendii...

Msema ukweli mpenzi wa Mungu, mie mwenyewe sipendi ndomu, kavu tamu jamanii aaaah kila mahali kwe nye mwili panasisimka.

Kitu cha kwanza kwa Kasie, ikibidi nishushe kisinda ushuzi chini, basi lazima wiki moja kabla ya tukio kama si mwezi tupime. Hapo najisanua kwa afya yangu.

Hadi nikisanue...... ntakufanyia drama zote na kama una roho ndogo kama wa hit and run utakimbia mwenyewe na kusema sizitaki mbichi hizi kumbe mbivu ila ndo Matata heheheheheee.

Kavu nakula ila kwa akili.

Sasa wanaoiga bila kujua mahali na wakati muafaka wa kufanya walichoiga.... ndo wanaishia kulia kwenye vituo vya afya.


Mpe pole mhusika japo angalizo sio kwa kina dada tuu, hata wakaka / wababa aka wanaume kujilinda ni muhimu iwapo unajipenda. Ila kama mtu hajipendi wala hajijali basi atajiachia achia hovyo na yeyote popote.

Kasie Mahaba.
Kwanza fungus zinaharibu papuchi zinaleta fangasi.Mimi napenda kitu chenyewe bna.ikiingia tu daah hadi nimeloa hapa
 
tangu lini pipi au ndizi ikaliwa na ganda lake?
 
Kakutana nao siku za nyuma,sasa wa mwisho alimuambukiza UTI ndio akashtuka akaone aje kupima ngoma kabisa.
Yaani kakutana Na wanaume watatu Leo kavu kavu kapata virusi Leo Leo .kapima majibu Leo Leo au sijaelewa?
 
basi lazima wiki moja kabla ya tukio kama si mwezi tupime. Hapo najisanua kwa afya yangu.
Mbona hizo siku chache Mpendwa, umesahau ukipima mara ya kwanza unarudi baada ya miezi mitatu.. Jitahidi angalau miez mitatu
 
Umeona eeee
Kwanza condom zinawasha.

Ukitoka kutiwa unaanza kujiwasha na yake mafuta futa.
Unajimanua ili ujikune, tabu zote za nini?
Unapiga kavu, mzee anamwagia nje.
Ndani labda muwe mnaaminiana

In that way, I can say we are partners in crazy love crime scens.....

Acha mapenzi yaendeshe dunia, asiyeelewa na asielewe ila, kutiana kavu kavu kutamu na ndo mpango mzima.
 
Back
Top Bottom