Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Kasie una mipango mizuri, ila hauoni upo katika risk? mtapima one Month kabla je hapo katikati akisex na postive?.. tuachane na Hilo kuna Criteria kwamba hiyo one month mtakapopima mwenzako anaweza kuwa yupo katika window period ambayo sometimes hulast mpaka miezi 6.. Tumieni Condom!
mimi dem anaesema tukapime kwanza huwa namuogopa, maana akimpima mtu kwenye hiyo window period atamwamini 100% na kumpa kumbe anajijazia wadudu.
 
Huyo alikubuhu aisee watano kabisa na walikuwa hawajishtukii huyo alikuwa certified prosti..... Na kama hawajajiua basi ni hatari pia waweza shangaa wote ni wazima
Tatizo watu wengine huwa wanatamaa ya ngono.
 
Asante sana, ushaanza kuujua ukweli Madawa yoyote yale yanatibu kwa 20% na 80% ni sumu, na Hii inaathiri Ini na Figo kwa kiasi Kikubwa, ila kwa case ya Ugonjwa wa Ini hasa Hep B, ni hatari zaidi japo advantage yake ni kwamba unaweza ukaupata na ukaisha wenyewe au ukaugundua mapema unaweza tibika.. tatizo ni pale ukiwa chronic!
Ndo maana vtu natural vilivyoumbwa na Mungu huwa havina madhara kabisa, imagine hzo Arvs sijui umeze daily si ndo kujiua huko aisee hyo sumu yake ni bora tu kula mlo kamili. Kuna page nasomaga insta zinaelezea side effect za hayo madawa nakuelezea vyakula vya asili sema hzo page hufutwa content na Instagram maana wanaona zinafumbua watu na kuharibu biashara za makapuni makubwa ya Dawa, hii dunia ni zaidi tuijuavyo, imagine BBC walionyesha kuwa kuna nchi vipimo vya ukimwi vilikuwa fake!
 
Sheria zingalikuwa zinaruhusu ningalimtaja, ukimuona we ameumbika mtoto wa ki...... Nikupe mfano wa watu kama huyo kidoshi?
Mrembo aliwageuza wanaume vitega uchumi ubuyu nahamu nao
 
Ndo maana vtu natural vilivyoumbwa na Mungu huwa havina madhara kabisa, imagine hzo Arvs sijui umeze daily si ndo kujiua huko aisee hyo sumu yake ni bora tu kula mlo kamili. Kuna page nasomaga insta zinaelezea side effect za hayo madawa nakuelezea vyakula vya asili sema hzo page hufutwa content na Instagram maana wanaona zinafumbua watu na kuharibu biashara za makapuni makubwa ya Dawa, hii dunia ni zaidi tuijuavyo, imagine BBC walionyesha kuwa kuna nchi vipimo vya ukimwi vilikuwa fake!
Inaitwaje?
 
Its true babe,

Tena mwanaume anayejali anatakiwa awe na condoms nyumbani kwake( durex kama mimi nnazozipenda) size kubwa lakini.

Au kama msichana hataki condoms basi mnaweza kwenda kupima.

Nakumbuk nilichukuaga msichana mmoja wa tigo pesa alinitongoza mchana kweupe.

Akaniambia hapendi condoms nikakataa kusex.
Kesho yake akarudi akaliwa na condoms.

Imagine nisingekaza ingekuwaje?

Mwanaume sometimes anatakiwa awe leader.

MwinginE Dr wa Muhimbili nilimvua bikini nikakalegeza ile naweka kichwa nikajishtukia nikachukua durex yangu.

Dr akagoma kabisa kusex.
Basi gemu likishia hapo.
mhhhh,,,
 
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali,kuna wanaosema zinawasha,zinapunguza radha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.Hatukatai basi kama hilo ni jambo ngumu kwenu msicheze rafu sana angalau muwe mnachukua tahadhari kidogo ikiwezekana mkacheki afya na wenza wenu kabla ya kuunganisha vikojoleo sio mnavamia tu wanaume mtakuja kufa kabla ya siku zenu.
Leo mwenzenu yamemkuta amekutana na wanaume watatu tofauti tofauti alafu wote bila kinga, nimemuacha pale kituoni analia,yamemkuta Makuu

Binamu
NATUMIA KINGA KWA KILA MCHEZO KWA MAANA MAISHA NI YANGU SIO YA JIRANI
 
Kuna siku nilikutana na binti flani hivi nikanumua rough rider zangu nikatulia,amekuja geto wakati wa mambo namuambia kuhusu kinga akakataa,nami nikakaza bila kinga sipigi mzigo ...sikufichi siku hiyo hatukufanya... mpaka tulivyoenda kupima.
sasa ulimwambia kuhusu kinga ili avae au akuvalishe? maana ndomu unavaa wewe sasa ulimwambia ili iweje?
 
Ni kweli kila jambo na kiasi wengine hupenda wanawake wengi aonekane kidume, wadada labda kutaka fedha.
Siku hizi masuala ya ngono yanaonekana ni kigezo cha kufika 50/50. Imagine mwanamama anasema bila kupepesa macho ati ameishakazwa na wanaume kadhaa!
 
Kuna dokta aliwahi mpima mshkaji wangu wiki 3 baada ya kufanya tendo na akamhakikishia hana maambukizi. Hivi huyo daktari alikua anatumia vigezo gani???
 
Back
Top Bottom