Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Kwanza hakunaga ukimwi bna.watu tumedanga tunajaza treni mbili hatujapata hata uti.aaah mi nakitombesha tu kavu kavu
Kuna ukweli fulani Hapa, kupata Ukimwi nako kazi sana, sijambo rahisi.. Nimegundua wengi wanaopata Ukimwi ni wale wasiojua intertaiment sex
 
In that way, I can say we are partners in crazy love crime scens.....

Acha mapenzi yaendeshe dunia, asiyeelewa na asielewe ila, kutiana kavu kavu kutamu na ndo mpango mzima.
Huwezi shindana Na uumbaji wa mungu.tufaidi uumbaji wa mungu.halafu sijasex muda kasie .Nina 2 yrs just imagine.yaani siku nikipata mtu naweza kumla
 
Kasie una mipango mizuri, ila hauoni upo katika risk? mtapima one Month kabla je hapo katikati akisex na postive?.. tuachane na Hilo kuna Criteria kwamba hiyo one month mtakapopima mwenzako anaweza kuwa yupo katika window period ambayo sometimes hulast mpaka miezi 6.. Tumieni Condom!

Speaking of experience and nature life...... forget about facts on papers and books.

Ile uhalisia wa maisha, kama ingekuwa kila mechi kavu zikipigwa picha ainakaa angani angalingejaa mapicha picha.

Sijisifii wala sikumbatii ujinga wala sisemi watu wanifate kufanya na kutiana kavu kavu laah hasha. Nimesema ukweli wa Mungu ulionitokea.... Na huwa inanitokea na napenda kutiana kavu kavu ila wakati huo huo napenda maisha hivyo niko makini sana na afya yangu..... Wakati angaza wa naanza kuhamasisha watu kupima HIV walikuwa wanatoa muda wa maambukizi ni miezi 3 na hata ukipima leo ukakutwa uko salama basi unaambiwa urudi baada ya miezi 3 kuhakiki kama uko salama. Ila kwa kipindi hicho usishiriki ngono zembe.

Shauri na nasaha za angaza bado ninazo kichwani hadi leo japo ndomu siipendi.

Kasie Matata.
 
Sidhani eti Binti alikataa mi cjawahi kuona Binti alikataa jamani wanaume ndo hampendagi hyo kitu alimia 99% tena eti mtu kaja geto umuache eeeh never seen before
Mbona wanaume inatutokea sana, Mi nilikutana Manzi mmoja, wakati tunaongea Katika simu akaniambia, yeye atumii mpira, nikamwambia basi isije, na akuja kweli
 
Ukimwi unatibika mpigie huyu 0762744505 Majula Maleju yupo Ukerewe Mwanza
 
Speaking of experience and nature life...... forget about facts on papers and books.

Ile uhalisia wa maisha, kama ingekuwa kila mechi kavu zikipigwa picha ainakaa angani angalingejaa mapicha picha.

Sijisifii wala sikumbatii ujinga wala sisemi watu wanifate kufanya na kutiana kavu kavu laah hasha. Nimesema ukweli wa Mungu ulionitokea.... Na huwa inanitokea na napenda kutiana kavu kavu ila wakati huo huo napenda maisha hivyo niko makini sana na afya yangu..... Wakati angaza wa naanza kuhamasisha watu kupima HIV walikuwa wanatoa muda wa maambukizi ni miezi 3 na hata ukipima leo ukakutwa uko salama basi unaambiwa urudi baada ya miezi 3 kuhakiki kama uko salama. Ila kwa kipindi hicho usishiriki ngono zembe.

Shauri na nasaha za angaza bado ninazo kichwani hadi leo japo ndomu siipendi.

Kasie Matata.
Sijaelewa Hoja yako na Ulichonukuu toka kwenye comment yangu!
 
Back
Top Bottom