Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
I miss youMimi keee
I miss youMimi keee
Jamani thank you for missing me hope ur okayI miss you
I'm gud na i hope uko salamaJamani thank you for missing me hope ur okay
Niko salama kabisaI'm gud na i hope uko salama
kumbe hiyo comment umeiona?
sikutishi ata niachie tu uyo mkeNimeiona bamkwe mbona unanitisha hivi
Sasa mkuu umeweza kushuhudia vipi wanawake ambao wamekataa kuliwa kavu na kutaka ndomu itumike!?Mimi keee
Ndio style gani hiyo bwana mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote vitamu havimuachi mtu salama, kula kwa taadhari na kwa kiasi. Usifakamie
Mm pia siipendi ndomuKabisa wanaume ndo huwa hawapendi hyo kitu akija JF anawaponda wanawake I'm sure hata mleta mada hapendi kondomu ila vile unafiki ni jadi yetu basi atajifanya yeye hutumia
Hivi hamna dawa ya kupaka baada ya kufanya au kabla ya kufanya mapenzi ili kujikinga na ukimwi jmn maana ni raha iliyoje kutombana aise tutaisha kuacha hatuweziKasie una mipango mizuri, ila hauoni upo katika risk? mtapima one Month kabla je hapo katikati akisex na postive?.. tuachane na Hilo kuna Criteria kwamba hiyo one month mtakapopima mwenzako anaweza kuwa yupo katika window period ambayo sometimes hulast mpaka miezi 6.. Tumieni Condom!
Hivi hamna dawa ya kupaka baada ya kufanya au kabla ya kufanya mapenzi ili kujikinga na ukimwi jmn ili hata kama mtu ameadhirika mkifanya asikuambukize maana ni raha iliyoje kutombana aise tutaisha kuacha hatuwezi..kama ipo inaitwaje na sh ngapi.Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali,kuna wanaosema zinawasha,zinapunguza radha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.Hatukatai basi kama hilo ni jambo ngumu kwenu msicheze rafu sana angalau muwe mnachukua tahadhari kidogo ikiwezekana mkacheki afya na wenza wenu kabla ya kuunganisha vikojoleo sio mnavamia tu wanaume mtakuja kufa kabla ya siku zenu.
Leo mwenzenu yamemkuta amekutana na wanaume watatu tofauti tofauti alafu wote bila kinga, nimemuacha pale kituoni analia,yamemkuta Makuu
Binamu
Huyo hajipendii...
Msema ukweli mpenzi wa Mungu, mie mwenyewe sipendi ndomu, kavu tamu jamanii aaaah kila mahali kwe nye mwili panasisimka.
Kitu cha kwanza kwa Kasie, ikibidi nishushe kisinda ushuzi chini, basi lazima wiki moja kabla ya tukio kama si mwezi tupime. Hapo najisanua kwa afya yangu.
Hadi nikisanue...... ntakufanyia drama zote na kama una roho ndogo kama wa hit and run utakimbia mwenyewe na kusema sizitaki mbichi hizi kumbe mbivu ila ndo Matata heheheheheee.
Kavu nakula ila kwa akili.
Sasa wanaoiga bila kujua mahali na wakati muafaka wa kufanya walichoiga.... ndo wanaishia kulia kwenye vituo vya afya.
Mpe pole mhusika japo angalizo sio kwa kina dada tuu, hata wakaka / wababa aka wanaume kujilinda ni muhimu iwapo unajipenda. Ila kama mtu hajipendi wala hajijali basi atajiachia achia hovyo na yeyote popote.
Kasie Mahaba.