Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

mimi dem anaesema tukapime kwanza huwa namuogopa, maana akimpima mtu kwenye hiyo window period atamwamini 100% na kumpa kumbe anajijazia wadudu.
Na balaa lake ni Kwamba katika kile kipindi cha mwanzo cha infection hasa mwezi mmoja from exposure Muhusika anaambukiza Mara 12 zaidi ya Kawaida, Ukitaka Nusura Kila mwanamke Muone Muathirika.. Trust No One Piga na Condom tu, Hutojutia!
 
Kuna dokta aliwahi mpima mshkaji wangu wiki 3 baada ya kufanya tendo na akamhakikishia hana maambukizi. Hivi huyo daktari alikua anatumia vigezo gani???
Katika vipimo kuna aina za vipimo na risk ya muhusika, endapo Muhusika ana risk ndogo Hiv inaweza ikatolewa majibu sahihi hata ndani ya wiki nne, ila kuna asilimia fulani ya watu damu yao huchelewa kureact kiasi kwamba inabidi wasubiri mpaka wiki 12, kwa case ya Mtu mwenye Cancer ambaye yupo under chemotherapy majibu conclusive inakuwa mpaka baada ya miezi 6!
 
Ndo maana vtu natural vilivyoumbwa na Mungu huwa havina madhara kabisa, imagine hzo Arvs sijui umeze daily si ndo kujiua huko aisee hyo sumu yake ni bora tu kula mlo kamili. Kuna page nasomaga insta zinaelezea side effect za hayo madawa nakuelezea vyakula vya asili sema hzo page hufutwa content na Instagram maana wanaona zinafumbua watu na kuharibu biashara za makapuni makubwa ya Dawa, hii dunia ni zaidi tuijuavyo, imagine BBC walionyesha kuwa kuna nchi vipimo vya ukimwi vilikuwa fake!
Yapo Mengi sana Mkuu.. Yamefichwa!
 
Hii coment imenitia genye
Huyo hajipendii...

Msema ukweli mpenzi wa Mungu, mie mwenyewe sipendi ndomu, kavu tamu jamanii aaaah kila mahali kwe nye mwili panasisimka.

Kitu cha kwanza kwa Kasie, ikibidi nishushe kisinda ushuzi chini, basi lazima wiki moja kabla ya tukio kama si mwezi tupime. Hapo najisanua kwa afya yangu.

Hadi nikisanue...... ntakufanyia drama zote na kama una roho ndogo kama wa hit and run utakimbia mwenyewe na kusema sizitaki mbichi hizi kumbe mbivu ila ndo Matata heheheheheee.

Kavu nakula ila kwa akili.

Sasa wanaoiga bila kujua mahali na wakati muafaka wa kufanya walichoiga.... ndo wanaishia kulia kwenye vituo vya afya.


Mpe pole mhusika japo angalizo sio kwa kina dada tuu, hata wakaka / wababa aka wanaume kujilinda ni muhimu iwapo unajipenda. Ila kama mtu hajipendi wala hajijali basi atajiachia achia hovyo na yeyote popote.

Kasie Mahaba.
 
Acha waendelee kubishana,ipo siku watarudi hapa kuomba ushauri wa matumizi sahihi ya ARVs
Ukiwa ghetto na mwanamke kama hutakuwa jasiri katika maamuzi lazima ule tunda bila ndomu aiseee, njia moja tu ni kupima hataki potezea
 
Siku hizi masuala ya ngono yanaonekana ni kigezo cha kufika 50/50. Imagine mwanamama anasema bila kupepesa macho ati ameishakazwa na wanaume kadhaa!
Hyo noma sana aisee ila mi sijawahi sikia hyo wanaume ndo huona sifa ya hyo kitu kujitangaza
 
Back
Top Bottom