Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

As your Elder Brother let me Comment on this!

Kitaalamu Hiv Virus is the hardest virus to transmit, lakini kwa mwanamke ni easiest virus to transmit, kwa sababu Uke wa Mwanamke una ile Mucus ambayo virusi huingia kirahisi hasa kwa sababu kama ni Kumwagiwa inamwagwa ndani!

Kwa maana hii women wapo kwenye Risk Kubwa ya Kupata Hiv mara wataposex na Positive, Kitafiti kati ya wanaume 10 wataosex na positive woman ni Mwanaume Mmoja tu atapata Virusi wakti kati ya wanawake 10 Mpaka 6 wanapata virusi!

Play Safe!

Santana
 
Kasie una mipango mizuri, ila hauoni upo katika risk? mtapima one Month kabla je hapo katikati akisex na postive?.. tuachane na Hilo kuna Criteria kwamba hiyo one month mtakapopima mwenzako anaweza kuwa yupo katika window period ambayo sometimes hulast mpaka miezi 6.. Tumieni Condom!
 
Huyo hajipendii...

Msema ukweli mpenzi wa Mungu, mie mwenyewe sipendi ndomu, kavu tamu jamanii aaaah kila mahali kwe nye mwili panasisimka.

Kitu cha kwanza kwa Kasie, ikibidi nishushe kisinda ushuzi chini, basi lazima wiki moja kabla ya tukio kama si mwezi tupime. Hapo najisanua kwa afya yangu.

Hadi nikisanue...... ntakufanyia drama zote na kama una roho ndogo kama wa hit and run utakimbia mwenyewe na kusema sizitaki mbichi hizi kumbe mbivu ila ndo Matata heheheheheee.

Kavu nakula ila kwa akili.

Sasa wanaoiga bila kujua mahali na wakati muafaka wa kufanya walichoiga.... ndo wanaishia kulia kwenye vituo vya afya.

Mpe pole mhusika japo angalizo sio kwa kina dada tuu, hata wakaka / wababa aka wanaume kujilinda ni muhimu iwapo unajipenda. Ila kama mtu hajipendi wala hajijali basi atajiachia achia hovyo na yeyote popote.

Kasie Mahaba.
Nakupenda bure kwa maushauri yako
 
Kabisa wanaume ndo huwa hawapendi hyo kitu akija JF anawaponda wanawake I'm sure hata mleta mada hapendi kondomu ila vile unafiki ni jadi yetu basi atajifanya yeye hutumia
Its true babe,

Tena mwanaume anayejali anatakiwa awe na condoms nyumbani kwake( durex kama mimi nnazozipenda) size kubwa lakini.

Au kama msichana hataki condoms basi mnaweza kwenda kupima.

Nakumbuk nilichukuaga msichana mmoja wa tigo pesa alinitongoza mchana kweupe.

Akaniambia hapendi condoms nikakataa kusex.
Kesho yake akarudi akaliwa na condoms.

Imagine nisingekaza ingekuwaje?

Mwanaume sometimes anatakiwa awe leader.

MwinginE Dr wa Muhimbili nilimvua bikini nikakalegeza ile naweka kichwa nikajishtukia nikachukua durex yangu.

Dr akagoma kabisa kusex.
Basi gemu likishia hapo.
 
Kuna siku nilikutana na binti flani hivi nikanumua rough rider zangu nikatulia,amekuja geto wakati wa mambo namuambia kuhusu kinga akakataa,nami nikakaza bila kinga sipigi mzigo ...sikufichi siku hiyo hatukufanya... mpaka tulivyoenda kupima.
Kabisa wanaume ndo huwa hawapendi hyo kitu akija JF anawaponda wanawake I'm sure hata mleta mada hapendi kondomu ila vile unafiki ni jadi yetu basi atajifanya yeye hutumia
 
MKUU HILI JANGA KAMA UMEPANGIWA LITAKUPATA TU MENGINE NI KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU
Hakuna kudra haiwezekani utembee peku peku usichomwe na mwiba au msumari tusijidanganye tahadhari ni muhimu mno
 
Its true babe,

Tena mwanaume anayejali anatakiwa awe na condoms nyumbani kwake( durex kama mimi nnazozipenda) size kubwa lakini.

Au kama msichana hataki condoms basi mnaweza kwenda kupima.

Nakumbuk nilichukuaga msichana mmoja wa tigo pesa alinitongoza mchana kweupe.

Akaniambia hapendi condoms nikakataa kusex.
Kesho yake akarudi akaliwa na condoms.

Imagine nisingekaza ingekuwaje?

Mwanaume sometimes anatakiwa awe leader.

MwinginE Dr wa Muhimbili nilimvua bikini nikakalegeza ile naweka kichwa nikajishtukia nikachukua durex yangu.

Dr akagoma kabisa kusex.
Basi gemu likishia hapo.
Umeona eeeh jukumu lakujijali ni la wote kujikinga kwa bidii, hata hvo kuna watu hawatumii na hawajawahi kupata hyo kitu huwa nashangaa mno, hyo hali inakuwaje kikubwa kukwepa michubuko isiyo na lazima nakuoima afya basi
 
Kuna siku nilikutana na binti flani hivi nikanumua rough rider zangu nikatulia,amekuja geto wakati wa mambo namuambia kuhusu kinga akakataa,nami nikakaza bila kinga sipigi mzigo ...sikufichi siku hiyo hatukufanya... mpaka tulivyoenda kupima.
Sidhani eti Binti alikataa mi cjawahi kuona Binti alikataa jamani wanaume ndo hampendagi hyo kitu alimia 99% tena eti mtu kaja geto umuache eeeh never seen before
 
Ukweli ni kwamba wanawake siku hizi ndio hamzipendi
Sidhani eti Binti alikataa mi cjawahi kuona Binti alikataa jamani wanaume ndo hampendagi hyo kitu alimia 99% tena eti mtu kaja geto umuache eeeh never seen before
 
Sidhani eti Binti alikataa mi cjawahi kuona Binti alikataa jamani wanaume ndo hampendagi hyo kitu alimia 99% tena eti mtu kaja geto umuache eeeh never seen before
Aisee una expeience ndogo saana kuhusu haya mambo, when it comes to sex wanaume tuko vizuri sana kuzingatia matumizi ya Condom, wanawake pekee wanaozingatia matumizi ya condom ni makahaba!
 
Aisee una expeience ndogo saana kuhusu haya mambo, when it comes to sex wanaume tuko vizuri sana kuzingatia matumizi ya Condom, wanawake pekee wanaozingatia matumizi ya condom ni makahaba!
Mi nasemea my own experience na watu ninao wajua most of men hawatakagi kabisa hyo kitu tena ni mabingwa wa kuficha kabisa, bora kuwa na mtu mwaminifu basi
 
Mwambie Mkuu,anaona kama mimi namuongopea.
Aisee una expeience ndogo saana kuhusu haya mambo, when it comes to sex wanaume tuko vizuri sana kuzingatia matumizi ya Condom, wanawake pekee wanaozingatia matumizi ya condom ni makahaba!
 
Mi nasemea my own experience na watu ninao wajua most of men hawatakagi kabisa hyo kitu tena ni mabingwa wa kuficha kabisa, bora kuwa na mtu mwaminifu basi
Mtu ambaye anaunderate Condom hajawahi pata hata Gono, Miaka ya 90's Karibia Niukwaee toka kustuka Pale kuwa Binti alikuwa amewaka Mpaka leo Nina miaka mingi sana sijui kavu.. Ngoja Alert iwapate!
 
Back
Top Bottom