Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Dada zangu kuweni makini, UKIMWI upo

Sasa hapo mkuu ilitakiwa uwape huu ushauri vijana wa kiume,kama mwanamke mmoja amekutana na wanaume watatu kavu wakuonewa huruma ni hao wanaume
Demu mwenyewe amesema hazipendi kinga ndio maana amewapa jamaa kavukavu
 
Na hyo huwaathiri wengi aisee mama alihangaika zaidi ya hospital tano hivi kah kumbe ni hyo level ya protini
Mbaya zaidi siku hizi ukigundulika tu unaanzishiwa na dawa papo hapo!
 
Kwenye Hii scenario ipo hivi, Katika Upimaji wa HIV kinachopimwa ni aina fulani ya Protein, sasa wamama katika kipindi cha ujauzito wanakuwa na level kubwa ya Protein.. ambayo baada ya kupimwa they are most likely to be False Positive!
Ehee Mungu wangu kama ni hivi si wengi watakua wamedanganywa jamani.
 
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali,kuna wanaosema zinawasha,zinapunguza radha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.Hatukatai basi kama hilo ni jambo ngumu kwenu msicheze rafu sana angalau muwe mnachukua tahadhari kidogo ikiwezekana mkacheki afya na wenza wenu kabla ya kuunganisha vikojoleo sio mnavamia tu wanaume mtakuja kufa kabla ya siku zenu.
Leo mwenzenu yamemkuta amekutana na wanaume watatu tofauti tofauti alafu wote bila kinga, nimemuacha pale kituoni analia,yamemkuta Makuu

Binamu
Huyo anastahili. Mungu alimpangia.
 
Maisha haya ni complicated sema wasio wagonjwa hawajali afya za wengine so selfish aisee, bora kuhakikisha no michubuko basi
Sitaki nikutishe, kuna member humu JF, alikuwa na mababy 5 na usiku mmoja anaweza kuwatembelea wote (mtoto wa kike). Alikuwa ni mtoto mashallah!!!! Akapata mimba kumbe wanne walikuwa wanajua alivyo sanya sanya waikataa mimba. Mmoja akakubali maana alikuwa anaamini yupo peke yake. Jamaa akailea mimba ila alipozaliwa ni copyright na kati ya wanne. Nieleze kwa mtungo huo kuna kupona ndugu yangu? Nilishamchana hapa JF. Ngoja nikapige pasi nguo za boss za kuvaa kesho asinifukuze kazi
 
Mbaya zaidi siku hizi ukigundulika tu unaanzishiwa na dawa papo hapo!
Hii tabia ya kulazimisha dawa ndo huongeza tatizo maana ukiigua immunity inashuka je ka msomaji alikosea, ukiangalia point za Deception kwa kiasi chake ana make sense, baada ya kuona huu ugonjwa sio tishio sasa hivi imekuja ugonjwa wa homa ya INI. Haya madawa ni biashara ya mataifa makubwa, kuna page nasomaga kuhusu haya madawa nilichoka sema ndo tushazoea kutumia ma antibiotic.
 
Ehee Mungu wangu kama ni hivi si wengi watakua wamedanganywa jamani.
Absolutely.. Hujawahi sikia case mtu alishakuwa diagnosed na HIV ila from nowhere unaambiwa hana HIV
 
Sitaki nikutishe, kuna member humu JF, alikuwa na mababy 5 na usiku mmoja anaweza kuwatembelea wote (mtoto wa kike). Alikuwa ni mtoto mashallah!!!! Akapata mimba kumbe wanne walikuwa wanajua alivyo sanya sanya waikataa mimba. Mmoja akakubali maana alikuwa anaamini yupo peke yake. Jamaa akailea mimba ila alipozaliwa ni copyright na kati ya wanne. Nieleze kwa mtungo huo kuna kupona ndugu yangu? Nilishamchana hapa JF. Ngoja nikapige pasi nguo za boss za kuvaa kesho asinifukuze kazi
Jf hii au Kenya talk?!!!
 
Umeona eeee
Kwanza condom zinawasha.

Ukitoka kutiwa unaanza kujiwasha na yake mafuta futa.
Unajimanua ili ujikune, tabu zote za nini?
Unapiga kavu, mzee anamwagia nje.
Ndani labda muwe mnaaminiana
mhhhh,,,, sasa kumwagia ndani na kuaminiana vinahusianaje?
 
Hii tabia ya kulazimisha dawa ndo huongeza tatizo maana ukiigua immunity inashuka je ka msomaji alikosea, ukiangalia point za Deception kwa kiasi chake ana make sense, baada ya kuona huu ugonjwa sio tishio sasa hivi imekuja ugonjwa wa homa ya INI. Haya madawa ni biashara ya mataifa makubwa, kuna page nasomaga kuhusu haya madawa nilichoka sema ndo tushazoea kutumia ma antibiotic.
Asante sana, ushaanza kuujua ukweli Madawa yoyote yale yanatibu kwa 20% na 80% ni sumu, na Hii inaathiri Ini na Figo kwa kiasi Kikubwa, ila kwa case ya Ugonjwa wa Ini hasa Hep B, ni hatari zaidi japo advantage yake ni kwamba unaweza ukaupata na ukaisha wenyewe au ukaugundua mapema unaweza tibika.. tatizo ni pale ukiwa chronic!
 
Sitaki nikutishe, kuna member humu JF, alikuwa na mababy 5 na usiku mmoja anaweza kuwatembelea wote (mtoto wa kike). Alikuwa ni mtoto mashallah!!!! Akapata mimba kumbe wanne walikuwa wanajua alivyo sanya sanya waikataa mimba. Mmoja akakubali maana alikuwa anaamini yupo peke yake. Jamaa akailea mimba ila alipozaliwa ni copyright na kati ya wanne. Nieleze kwa mtungo huo kuna kupona ndugu yangu? Nilishamchana hapa JF. Ngoja nikapige pasi nguo za boss za kuvaa kesho asinifukuze kazi
Huyo alikubuhu aisee watano kabisa na walikuwa hawajishtukii huyo alikuwa certified prosti..... Na kama hawajajiua basi ni hatari pia waweza shangaa wote ni wazima
 
Absolutely.. Hujawahi sikia case mtu alishakuwa diagnosed na HIV ila from nowhere unaambiwa hana HIV
Mmmh cha kufanya ukipimwa ukiwa na mjamzito usinywe dawa au maana hata sielewi
 
Yani we acha bora ukapime ukiwa huugui CHOCHOTE bila hivo ni hatari
Inafaa kabla ujabeba mimba unapima na mwenzi wako ili kujihadhari.

ikitokea umepima tena wakati wa ujauzito ukaambiwa ni positive mtu usinywe dawa, maana ni kuuana sasa kwa yale madawa yao.
 
Back
Top Bottom