True, Mwenye uafadhali ni mwanaume.. hasa akikuta mwanamke positive yupo under medication, ila kwa mwanamke kupona labda iwe kigezo cha damu ambacho bado kinafanyiwa utafiti!I agree with you tena ukichangia wakati wa tendo lile kule kukiwa Ku kavu ni hatari mno,