Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Huwezi shindana Na uumbaji wa mungu.tufaidi uumbaji wa mungu.halafu sijasex muda kasie .Nina 2 yrs just imagine.yaani siku nikipata mtu naweza kumla
Hahahahhaahahahhaaa Miss, sasa kwanini unajitesa. .... 2 years....!!
Umenikumbusha wimbo watoto wa shule walikuwa wanaimba. Siuzi mimi wala sitoi buree, unaibana bana italiwa na nyenyeree hehehehehee sijui kama uliwahi kuusikia.
Usiibane bane Miss, italiwa na nyenyeree.