Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
"Yaani unagharamia demi chini ya laki unalalamika?" watu mnaocomment namna hii huwa mnakua masikini sana sasa mnajaribu kujifanya mko juu, u cant bring me down!!!
Kweli niko juu "Laki si pesa" ya kulialia. Nilisema kama unataka cheap wapo kawatafute.Mchichana wa maana na heshima zake laki ni uchafu. Dada zetu wana thamani kuliko hizo hela mnazolalamika kuwapa. Ngoja na binti yako akue ndipo utajua maana ya ninanchokisema!!!! Take it easy.