Hivi huu ni umaskini unasumbua au nini? maana sielewi mtu mzima na akili yake analalamika kisa 77,000/=, kwani ungemuacha akajitoa mwenyewe out mbona angetumia zaidi ya hiyo hela, kwanza alikuhurumia vinywaji 12,000/= Dinner 20,000/= na gest 25,000, hapo mlikuwa wawili mlikunywa nini soda mkala chips mayai, gest za uchochoroni, mafuta si uliweka kwenye gari yako nayo unahesabu. Kama kweli huyo dada ni mzuri kama unavyosema basi hajitambui. na kama anajitambua hutamuona tena, kwani amegundua wewe ni gumegume hata hiyo sababu aliitoa tu ili aachane na wewe na hutakaa umugegede. Ila pole maana hapo ndo ulijitahidi kutumia pesa nyingi ambayo hujawahi kuitumia kulingana na uwezo wako