Una maana gani???
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
next time ndo umuambie mwenzio aelewe kama anaenda kutafunwa.. wanahitaji kujiandaa kwa pambano nao hao.. chupi mpya.. manukato nk..
Kwani Tigo Hana? au nayo ipo siku zake?
.........pole, kwani ulikuwa unataka nini kinachokwamishwa na siku zake???
Swali gani hilo??? jibu liko obvious kbs hapo...
Kwani Tigo Hana? au nayo ipo siku zake?
acha ushamba wewe, unaibiwa eti unaxema mkali!! hiyo ni fani tu, unawezakuta maudhui ovyo. kutembea kwako huyo ndo demu ulioona mzuri! na bado wazuri wanazidi kuongezeka, itabidi uwafungulie account yao.
Ahaaa.... kwa hio ghrama zako zote zile ulikuwa unataka kati, si ndio eehhh?
Ndo maana yake!
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
jamaa kila wiki huwa anakuja na post ya kuwakandya magashi wake, mdau!! wewe ukitanguliza pochi kutafuta papuchi usitegemee vinginevyo,na usilalamike...by the way, huyo demu ni cheap (pardon the expression), thats less than 100 grands na unalalamika?!!! if its not fair kwako ariff Amicus punguza kufungua zipu, fanya saving tafuta wa kudumu nae utagonga cheers vikojoleo whenever you want.
....chupi mpya....manukato nk ....hapa mm ni mgeni!!!!
Are u a "man" kweli? acha ush*g@, sio lzm kucomment, ungepita tu! kama mm mshamba inakuaje unacomment kwenye post ya mshaba? huogopi kuonekana uko sawa nae huyo mshamba?
1st date unataka kila kitu aisee!