Hapo alikuwa anamaanisha mtumie njia nyingine..Ile inayo anzia na 0712, kama ulimwachia atakuwa alikuona ----- sana.
Ha!......kama huna pesa kaa pembeni....waache wenye visu wale nyama......pesa yenyewe hata laki haifiki.....je akikwambia anataka na lace wig si ndio roho itaacha mwili......
[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?[/h]
1st date unataka kila kitu aisee!
Ha!......kama huna pesa kaa pembeni....waache wenye visu wale nyama......pesa yenyewe hata laki haifiki.....je akikwambia anataka na lace wig si ndio roho itaacha mwili......
weee nae sii bora hiyo hela ukakamatie malaya ugegede bila mastress
Hiyo ni 12th date aisee
weee nae sii bora hiyo hela ukakamatie malaya ugegede bila mastress
Wewe teeena, nilijua tu
daaah! pole but yaani ww unaonekana kama sum yako ni ndogo sana yani mikwanja yote hyo umeitoa kwa wakati mmoja aaah! ukijarib tena mwingine cutafilisika take care uskurupuke.......! swagga tu
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Na hii si ya kwako piaeeeeeeeeeeee Haka katabia ka wadada kananikera sana!!!. Leo umetuamulia.
Ndo kanikubalia juzi kati tu! Ila ni mkali kisenge, nikishapiga lazima nikae kaka...