Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Inategemea na nini anafanya. Kama alikimbia umande na kazi hafanyi na tako lipo kwanini asiwekeze bongo yake huko sasa..
No hata wasomi now days wamekumbwa na kaugonjwa flani hivi cha kuthamini kalio kuliko hata Elimu.😁😁
 
Points
 
Kalio muhimu, wanawake wote social media hawatuwekei masura yao wanatuwekea mahipsi na makalio, mapoooz, ila ndo kuna wadau wanapenda hizo mambo ndo maana zinatrend
 
Huu ukweli mtupu,huwa wanasahau ya kuwa hawawezi kushindana na silika.

Kuna msemo huwa nausikia sana kitaa na una maana sana,unasema hivi "Kama usipo sali basi utasaliwa tu"

Japokuwa maisha hayaishii katika ndoa tu,ai kupata watoto ila silika inataka hivyo.


Asante sana kaka mkubwa kwa kiwakumbusha dada zetu...........?
 
Just incase..[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…