Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

kwanini usisome kwa makini post kisha ndo uulize maswali...???? yeye alikua serious anataka kufanya kazi coz si mtu wa kubweteka na alikua na mtu aliyemwani kwa kuwa ni classmate wake....sasa hapo ugumu uko wapi kuelewa...???
Weka maelezo yanayojitosheleza kwenye post kuu.Sasa unaficha katikati ya pages ili iweje??
 


Kunyweni damu yao,hawana haki ya kuishi tena
 
Wavunje miguu.na wapasue macho pls fanya ivyo for the sake of our SIS
 
hadi mmechoka mnatafuta masela wengine waendeleze mkong'oto

Mbali ya yote pole sana kwa masahibu yaliyomkuta dada, kwa kweli kuna baadhi ya binadamu wamekosa kabisa utu
 
tumepiga sana fimbo yaani moyo wangu bado unataka kitu jamani.....aisee hasa nikimwangalia dada anavyolia kwa uchungu....

Mnawapiga fimbo???are you serious???halafu hapo ndio una hasira aki ungekuwa karibu ningekupiga kwanza..yaani unatakiwa kutafuta nondo ya 32mm ndo umpige nayo fimbo ndio kitu gani umenipa hasira wewe....
 
sasa huyo dada yako si alienda mwenyewe?! .........
 
tumepiga sana fimbo yaani moyo wangu bado unataka kitu jamani.....aisee hasa nikimwangalia dada anavyolia kwa uchungu....

picha za tukio ni muhimu mkuu, ili ziweze kutupa hasira na sie
 
Wafumueni marinda kwa namna yoyote ,wamefanya vibaya sana aisee...nikiwaza kubakwa loh,God forbid
 
Mkuu Transporter mpeleke sister hospital kuna dawa za kuzuia mimba na kumkinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi, mapema zaidi ni bora
 
Last edited by a moderator:
Wakate kiganja kila mmoja ndo watakumbuka milele
 
sawa ila siku yakimfika dada yako ndo utajua kuwa haina uhusiano na ametulia au hajatulia....???? we twende tuu
Usimtetee dada yako. Hao jamaa wana makosa kama wamebaka lakini hebu we mwenyewe angalia tukio zima. Yaani mtoto wa kike aliyefundwa akafundika aanze tu kuchukua bodaboda, anashuka, kisha anapanda gari nyingine, halafu anakubali kuingia kwenye nyumba ambayo si kwao wala kwa ndugu yake yeyote na zaidi wala hatoi taarifa kuhusu nyendo zake. Hivi huyu kafundwa kweli??!!! Kaka rudi ubaoni mumfunde huyo binti vizuri na kama kuna wadogo zake mpate funzo la kutosha hapo.

Mimi dada yangu kwa jinsi nilivyo karibu naye hawezi kufanya safari ya kwenda kutafutiwa kazi bila mimi kujua. Of coz kama anaenda kugegedwa nina hakika sitapata taarifa (But then again hii itakuwa kwa sababu yeye mwenyewe kataka pia). Ila huyo wako wewe....dah!!!
 
Polisi nako kumejaa rushwa tu, otherwise no way out, lazima mkaripoti polisi.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kesi iko wazi na ushahidi umepatikana. Daktari amethibitisha ktk ripoti yake. Sasa rushwa ya nini?

Ruswa ya nini unaulizia kwa polisi wa Tanzania?? Sasa ngoja hao waarabu wakuwahi uone charge sheet itakavyochezewa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…