Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

asanteni wote kwa ushauri wakuu....ni hivi hatua tulizochukua mpaka sasa ni kwamba tulitoa taarifa polisi kuhusu tukio la ubakaji na tulikuwa na dada usiku uleule bila kupeleka wabakaji kwani tuliwaambia wapo chini ya ulinzi mkali....
pili tulipatiwa form na kumpeleka dada hospital akapimwa na kugundulika kama ni kweli amebakwa na hivi ninavyoandika tupo hospital kwani bado anaugulia maumivu ni makali mno na pia anategemea kupewa dawa ya kuzuia ukimwi....

baadae baada ya kujiridhisha na hatua zitakazochukuliwa tuliwafikisha watuhumiwa polisi na wanaendelea na mahojiano na nishukuru tulipata msaada wa wamama fulani wanasheria wakubwa tu taratibu zote naona zinakwenda kama nilivyotaka na nitazidi kuwapa ripoti kama ilivyo.....
 
tumepiga sana fimbo yaani moyo wangu bado unataka kitu jamani.....aisee hasa nikimwangalia dada anavyolia kwa uchungu....
..
..Acha kutibu dalili za ugonjwa ww tibu ugonjwa..DADA yako MWENYEWE KACHUKUA BODABODA...kajipeleka mwenyewe...kwa hiari..SASA WW dili na dada yako ni ma.la.ya huy0....
 
Pole sana mkuu,the ony solution is to file a petition before the court of law,iwe criminal case under rape,kidnaping then tort of false imprisonment in case of compensation
 
kaka ushaur wangu ni mmoja tu,hao jamaa wakitoka hapo either wanaweza enda polisi au kufanya kitu kingine,cha maana wacameroon huku mkiwarecord then mnawaacha na kamwe hawawez kwenda polisi mana wakienda polisi wanajua kua na nyie mtarelease mambo ila kaka kweli unampenda mdogo wako na huyo jamaa mnaeitana nae shemeji mpe big up sana
 
Msijichumie dhambi hao dawa yao ni kuwapelek polisi tu, shahidi dada yenu yupo!!Kesi ya ubakaji haina mjadala, 30 years in prison baba!!
 
Kifungo cha maisha hicho, hakikisha charges zina kidnapping and rapping aiseee ili iwe fundisho kwa hao jamaa. Uombe kwa kuwa hawa jamaa kuna wenye asili ya utaifa mwingine unaomba wasipewe bail ili wasitoroke. Kula na polisi waandike vizuri charges ziwabane kabisa. Pole sana.
 
..
..Acha kutibu dalili za ugonjwa ww tibu ugonjwa..DADA yako MWENYEWE KACHUKUA BODABODA...kajipeleka mwenyewe...kwa hiari..SASA WW dili na dada yako ni ma.la.ya huy0....

mkuu ulisoma maelezo yangu kwa makini kweli...??? napata shida na uelewa upeo wako unaweza fikiri ivo tuu....kweli the (greater horizon) ni kazi kupatikana
 
Mh!! Pole kwa huyo bint jamani.
Ni vizuri kuwa taratibu za kisheria zimefuatwa na dada yako amepata msaada wa kitabibu.
 
Chukua picha za kutosha... zitakusaidia kupambana na mwarabu huko mbele ya safari...
 

Kesi iko wazi na ushahidi umepatikana. Daktari amethibitisha ktk ripoti yake. Sasa rushwa ya nini?
 
Huyo dada yako hajatulia. We mtoto wa kike aliyelelewa akaleleka atajipelekaje tu sehemu eti akatafutiwe kazi. Rudini ubaoni muanze malezi upya.
 
Duh! Hii ni hatari

wapeni kichapo cha nguvu halafu mkawatelekeze sehemu, halafu muwahi polisi kuchua RB
 
Mie hata sikuelewi.Huyu dada yako si alienda mwenyewe kwenye hiyo nyumba au alikokotwa?Aliwaamini vipi hao watu mpka akawafuata.Au hiyo nyumba aliyoingia ni ya nani?
 
Waombe milioni 20.5 mkuu kama hawana ng'oa kucha,nywele,p*mbu,meno nk
 
ungewamwagia sulphuric acid kwenye hvo vidudu vyao
 
Mie hata sikuelewi.Huyu dada yako si alienda mwenyewe kwenye hiyo nyumba au alikokotwa?Aliwaamini vipi hao watu mpka akawafuata.Au hiyo nyumba aliyoingia ni ya nani?

kwanini usisome kwa makini post kisha ndo uulize maswali...???? yeye alikua serious anataka kufanya kazi coz si mtu wa kubweteka na alikua na mtu aliyemwani kwa kuwa ni classmate wake....sasa hapo ugumu uko wapi kuelewa...???
 
Huyo dada yako hajatulia. We mtoto wa kike aliyelelewa akaleleka atajipelekaje tu sehemu eti akatafutiwe kazi. Rudini ubaoni muanze malezi upya.

sawa ila siku yakimfika dada yako ndo utajua kuwa haina uhusiano na ametulia au hajatulia....???? we twende tuu
 
Mie hata sikuelewi.Huyu dada yako si alienda mwenyewe kwenye hiyo nyumba au alikokotwa?Aliwaamini vipi hao watu mpka akawafuata.Au hiyo nyumba aliyoingia ni ya nani?
nasikia eti kuna ubakaji miongoni mwa wana ndoa nikweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…