Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

Anza na mwarabu piga sanaa
Walitutesea babu zetu enzi za slave trade
 
Jambo la busara hapo ni kuruhusu sheria ichukue mkondo wake,kama mmeshawaadhibu wapelekeni polisi na huyo dada yako atakuwa shaidi namba moja,tena asioge wala kunawa aende kama alivyo.Kinyume na hapo kesi inaweza kuwageukia au vita kali kutokea baadae.Cha muhimu chukua picha zao tupia humu kisha tuzisambaze kwenye mitandao jamii iwajue waharibifu wa wadogo zetu.
 
Reactions: BAK
Waombe mate!
 
wapeleke police kamwe usijichukulie sharia mkononi ystskujs kukubadilikia utajuta shauri yako.
 
Reactions: BAK
Sasa huyu dada yako anayetafutiwa kazi ya muda tutamuamini vipi ikiwa wewe kaka yake tu hukuwa na hizi taarifa??!! We naye, yaani hawa kinadada wa siku hizi ni wa kuwafuatilia kiasi hicho?!! Huyo dada yako ndio kwa kula bakora za kutosha maana ye mwenyewe hasomeki. Hao jamaa waache tu, maana unaweza kuja kushangaa dada yako anaendelea kuliwa na hao washikaji.
 
Huyo uliyekuwa mnaitana shemeji hakufai kabisa, alishindwaje kumshawishi dadako hadi kufikia hatua mbaya kama hiyo? Pia dada yako huenda alikuwa anawapenda washkaji, hajamaliza hata wiki 2 mtaani kashapigwa mzizi na watu tarara
 
Mlichokifanya kinatosha sasa nendeni polisi mkaandikishe maelezo bila kuficha chochote, natumai hamjawajeruhi kupita kiasi. Mkiendelea kuwadhuru basi hii kesi inaweza kabisa kugeuka na nyinyi kuwa ndiyo washtakiwa. Wapigeni picha pia na kukaa nazo kama ushahidi wenu maana polisi watachukua cha juu na kuweza kuigeuza kesi na nyie ndio mkapandishwa kizimbani.
 
Mmh, mambo mengine yanaogopesha hata kusoma. Japo maisha yako bob, kama movie kuruka ukuta na kadhalika.

mkisharipoti polisi umpeleke sista hospitali kwa ajili ya matibabu. Anaweza kuhitaji dawa ya kumkinga na ukimwi.
 
Ila kama dada alikubali mwenyewe kwenda nadhani hapo kosa ni la kwake.
Jingine kabisa hao watu we jifanye huoni afu wape kilema cha kukumbuka.
 
Wapeleke polisi haraka kabla msala haujakugeukia...kwaharakaharaka wewe unamakosa kama matatu hivi..polisi wetu unawajua, mtu akiwahi na akitoa hela kidogo ndio anasikilizwa
 
muwaingilie muwarecord ila mfiche sura au muwaambie waingiliane muwarecord. ..af muuze. .mahakama kibongo bongo kesi itakuwa ntolee hiyo tena
 
Dah hao jamaa walikuw wameshagawan njia.Huyo mwarabu asurubiwe maradufu..hao wengin hata ukiwatoa meno na kucha bila ganzi co mbaya.mwarab 0713 ihusishe
 
Nmechelewa ila next time policy za Waziri mkuu wa Uingereza inabidi itumike
 
Daaah!!aiseee ingekua mm wangeisoma No. vizur,nakushauri
1. muwabake tena kisawasawa
2. wanyweshe sumu ya panya subir had wafe ndo muondoke.ukijifanya uwapeleke kwenye vyombo vya sheria huambulii chochote serikali hii ipo mifukoni mwa watu.

3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…