Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Hii sio habari; Grace how much, Grace what?! anataka kushine kupitia jina la mdogo wake sio! akihama Freeman hiyo ni habari lakini Grace; she is inconsequential. Good riddance!
 

Vp na Ukoo Wenu Kwenye NEC?
Baba,
Baba (Bagamoyo)
Mama
Nafasi zao zikoje?
 
Mkuu nimejaribu kupitia post zako unajibu kama waimba taarabu jaribu kujirekebisha unalidhalilisha hili jukwaa
Wewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogo
 
Acha uzuzu kichwa maji ww, kwa hiyo esther wasira ambaye majina yanafanana tu na wasira ndio ishu ya maana? Tumia kichwa km ilivyoelekezwa na mungu ww

Who is esther wasira by the way? Hatuna muda wa kujadili watu wadogo kama huyo esther. Halafu shika adabu yako. Jenga hoja. acha kuniita kichwa maji! Sawa wee dogo?

 
Wewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogo

Ofisi umeshafuta Vumbi Lumumba? Manake unapoteza mda tu humu JF....
 
Watu wanapozungumziwa na kuzungumzwa inaonyesha upeo mdogo na wa mwisho wa akili.

Maana katika kupanga upeo wa akili:-

1. Akili ndogo huzungumzia watu (CCM na kampuni yake hasa Lumumba Team)

2. Akili ya kati huzungumzia matukio (Wapo washabiki wa kila aina)

3. Akili komavu huzungumzia masuala na mawazo ya kutafuta mstakaqbali (Hawa hawapo CCM na Lumbumba Team). Ndiyo maana hatuna maendeleo wala ufahamu unaosababisha umaskini wetu. Dada yake Mbowe kwa taarifa ya Uhuru inatatuaje au inaendelezaje masuala ya Kitaifa? U*P*U*U*Z*I NA U*M*A*S*A*B*U*L*I wa kukithiri
 
Wewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogo
Wewe huna mchango zaidi ya kujidhalilisha na kulidhalilisha jukwaa hii siyo sehemu ya kejeli kinachotakiwa ni hoja
 
Huu uzi magamba leo yamepata pa kupumulia naona yanpishana kutoa mapovu ila ule wa mtoto wa Wassira walichungulia tu,jana uzi wa Kurugenzi ya habari uliokuwa na mtiti wa raia waliochoka utumwa wa magamba yakalala mbele,leo wauza unga,wagonjwa kama mbeba mabox,savimbi na panya woote watashinda hapa...
Furaha yenu ni geresha tu zahama inayokuja hata nepi amechanganyikiwa.
 
Mbona Makongoro alitoka CCM na kurejea, Mbona Vicent Nyerere ni Chadema wakati ukoo wa Mwanzilishi wa CCM? kwa Grace imekuwa nongwa??? Huenda kapata bwana huko, mwacheni aende akiachika CDM ni nyumbani atarudi kama Makongoro alivyorudi. Mchezo mchafu wa CCM hata kama uongozi mzima wa CDM utahamia CCM, achana na grace, CDM itadumu maana ni CDM ni wananchi sio grace au viongozi, Mafsadi wanaweweseka!!!, CDM inafukuza majini, inatoa mapepo, inabeba tumaini jipya la watanzania
 

Siku ya mwisho kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe.
 
Safari inaendelea watahama wengi sana tu hii ni mwanzo wakuu chadema si chama cha siasa.

Mkuu, hayo ni maandalizi ya ukoo wa akina Mbowe kuhamia CCM. Kuelekea 2015 tutashuhudia mambo mengi na wengi watabaki midomo wazi
 
Sasa kuna tatizo gani? Mbona hata Makongoro Nyerere alikuwa NCCR Mageuzi wakati babake akiwa CCM na tena ndiye muasisi wa CCM. Sasa itakuwa dadake Mbowe? Mbona mabinti wa Wassira wapo CHADEMA na Tyson mwenyewe yuko CCM na ni waziri katika serikali. Hiyo haina tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga. Mtoto au mke anaweza kuwa Simba au Yanga na baba akawa kivyake lakini wote ni familia moja.
 


Mbona unakosa hekima, yaani hawa wote hawana akili kuutambuwa huo ujanjaujanja? unakasoro kubwa katika kichwa chako.





 
huyu dada hata undugu na mbowe angevunja tu ni mbaya sana kuwa na ndugu kama mbowe hana msaada hata kwa ustawi wa familia,
yeye ni vurugu,uongo,kuteka watu na mengine mabaya mtu kama huyo ni wa nini.
 
Ametumia haki yake ya Kikatiba kuhama Chama.......
 
kweli chadema hakuna viongozi yani chadema nzima waliona mbowe ndiyo anafaa kweli?,halafu mda wote ameangalia pande kwani ananini.
 
Nampongeza kwa uamuzi wake wa busara na kizalendo. Bila shaka elimu ya uraia tunayotoa humu ndani na mtaani imesaidia kwa kiasi kikubwa kuwaonyesha watanzania nini chadema na ni upi muelekeo wake. Pongezi kwa kina Ritz, HAMY-D, ZeMarcopolo na wengineo kwa elimu ya uraia mnayotoa.
 
Last edited by a moderator:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…