Dada wa kazi

nashukuru kwa ushauri
 
wewe umemiss kigegedwa chako...una anza kutamani kuka gegenda katoto ka watu.
mtoto anaonyesha heshima tu...Futa hayo mawazo yako

Tena heshima hiyo kaambiwa na mama mwenye mume kwamba "........ nasafiri hakikisha unafanya kazi zako kama kawaida na umuheshimu sana ......." baba yako, au sijui shemeji yako; inategemea wanavyoitana wenyewe wakati mama mwenye mume akiwepo. Sasa jamaa anaanza kuhofia kumwangalia kwa makengeza, acha kabisa hiyo utavaa viatu vya watoto wadogo uchekwe na wenyeweee....
 
Rudi nyumbani ukiwa umechelewa, ukute tu chakula mezani, ukishakula osha mwenyewe vyombo vyako, wala asikufungulie mlango maana atatoka na kanga moja. Hivyo ndio tunavyokwepa wengine maana hata ukijifanya mkali atakupata tu akiamua. Ukishindwa kabisa uanze gym uwe unarudi nyumbani umechoka. Pia ukishindwa, kunywa valuu ina tabia ya kupaki kifaa na hakitafurukuta mpaka kesho yake.
 
haya ni matatizo ya baadhi ya wanaume wasio jua thamani zao, wala za wake zao.

kwa hiyo wewe kinachokuzingua hasa ni hayo magoti unayopigiwa au ??

ficha ujinga wako
 
Hahaaa,valuu ina tabia ya kupaki kifaa!!!You made my day,JF ni zaidi ya shule!
 
narud saa nne usiku namkuta madogo anangalia kideo kama saa hz nipo posta narud mpaka kufika ni saa 4 nikila usingiz mpaka asubuh namwacha anacheki kideo sijui analala saa ngapi
 
haya ni matatizo ya baadhi ya wanaume wasio jua thamani zao, wala za wake zao.

kwa hiyo wewe kinachokuzingua hasa ni hayo magoti unayopigiwa au ??

ficha ujinga wako
we ndo ufiche ujinga wako coz unachangia mada bila kuelewa tunajadili nini soma vizur ndo uchangie ovyo!!!
 
You will soon suck your marriage, I see you want to fulfill your wishful thinking, carry on to hell!
 
Kama unamaanisha hautaki kumsaliti mkeo mshushue huyo dada mwambie haya makitu umeanza lini?acha kufanya maigizo be seruous usicheke nae..
 
Kama unamaanisha hautaki kumsaliti mkeo mshushue huyo dada mwambie haya makitu umeanza lini?acha kufanya maigizo be seruous usicheke nae..

asante mtoto pole kwa ushauri ntaufanyia kazi
 
You will soon suck your marriage, I see you want to fulfill your wishful thinking, carry on to hell!

simplicity are you God?how come you judge me like that for your information am not for hell before i was born i was already chosen by heaven God.hell is for devo and his follower not children of God back to the topic it is just for sharing experience and educating each other am not here to seek advice from jf member to foolmyself no i tabled it delibarately coz i know most of us encounter such challenge
 
...cha ajabu anatoa best customer service.....nauliza.... ni ya kweli inatoka moyoni..!!!!!????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!??
 
kama ulikuwepo vile...ujakosea kitu mkuu
 
great words mkuu..nime kusoma venma.
 
ah mie kwanza nina philosophy kuwa nitagegeda nje so najua pia watanigegedea wangu cha msingi tuu nisijue...nikijua basi nitamuita yule anayemgegeda mke ili tumgegede wife kwa pamoja maana ndio anachotaka alafu namuacha
 
shukuru Mungu wewe unajitambua
 
Kufanya ngono zembe na dada wa kazi ni kitendo cha kujidhalilisha utu wako kuliko kitu kingine chochote kile. You will hurt your wife's feelings so much. Mara mia ukaokote changudoa huko mbali kuliko kutembea na housegirl....God forbid!
 
kweli but kama ni mwanandoa kwa nini uende kwa machangudoa kubeba ukimwi kwani ukikaa bila ngono hata mwaka utakufa kwa nini watushinde hata wanyama ambao hufanya tendo kwa msimu nimejionea mwenyewe namna watu walivyo wengi wamenishambulia kwamba natamani ku do wakati nimeleta obsrvation tu any way kama mwanandoa lazima uwe mvumilivu ueshimu ndoa sio uende kwa makahaba au housegirl kwa nini hatuwezi jizuia ktk haya mamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…