thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
- Thread starter
- #21
Tena akiwa anavutia ndo umekwisha kabisaa
Unapiga mzigo mwenyewe au bado upo kwa wazazi..???
Mama mwenye nyumba akiondoka yeye anapanda, akirudi anashuka...Huyo anapanda na kushuka kama winger yaani
Bek tatu kwenye mpira ni mtu ambae anazuia mashabulizi sasa akiwa anapandisha team maana yake anakua anachukua nafas ya winga mshambuliaj ambae ni mke wa mwwnye nyumba ikitokea winga mshambuliaji ni lege legeHivi kwa nini wasichana wa kazi mnawaita beki tatu?
Mama mwenye nyumba akiondoka yeye anapanda, akirudi anashuka...
Bek tatu kwenye mpira ni mtu ambae anazuia mashabulizi sasa akiwa anapandisha team maana yake anakua anachukua nafas ya winga mshambuliaj ambae ni mke wa mwwnye nyumba ikitokea winga mshambuliaji ni lege lege
Hajui kuwa anakurahisishia kugawana naye mali hasa ikiwa atachepuka nawe kugundua na kudai talaka au nawe uchepuke na mimi? [emoji16]Unafikiri naogopa nini?
Hivi kwa nini wasichana wa kazi mnawaita beki tatu?
Asilimia kubwa mabeki 3 wanavutia...wanaume tunavutiwa na ule uhalisia wao. Unamuona mwanamke katika uhalisia wake na harufu yake halisi bila muongezeko wa chochote. Sio pafyumu wala kujichubua. Na aibu yao ni mvuto..Tena akiwa anavutia ndo umekwisha kabisaa
Utoto rahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] dadek. Mnaelezea kitu kimoja ila kila mtu anaelezea anavyopendaBek tatu kwenye mpira ni mtu ambae anazuia mashabulizi sasa akiwa anapandisha team maana yake anakua anachukua nafas ya winga mshambuliaj ambae ni mke wa mwwnye nyumba ikitokea winga mshambuliaji ni lege lege
Hata kazi zenyewe hazipoOk. Tuseme huogopi baļi unazimudu kazi za myumbani.
Beki No 3 Katika Mpira Wa Miguu Mara Nyingi Anakuwa Bora Pale Anapoweza Kupanda Mbele Kusaidiana Na Mshambuliaji Pia Anarudi Kumsaidia Goal Keeper
Ngoja wataalamu watupe majibuHivi kwa nini wasichana wa kazi mnawaita beki tatu?
Hujambo? Ujue ndio nimekujua leoNgoja wataalamu watupe majibu
Hivi kwa nini wasichana wa kazi mnawaita beki tatu?
Hivi kwa nini wasichana wa kazi mnawaita beki tatu?
Update: Nashukuru mlionifafanulia nimeelewa vema
Hahaha daah shukraniHii ilianza miaka ya 1990s baada beki maarufu kuzuia sana mipira anaitwa Sol Campbel akiwa Totenham.Ndio jina lilianzaia huko likapaishwa na bongo flava.Na yule Jamaa alikuwa anafanana na watu Iringa chimbuko la wafanyakazi wa ndani.