Dada wa JamiiForums hajibu PM zangu tena baada ya kumuambia kazi yangu kubeba zege

Jifunze kusema uongo. Hawa viumbe bila uongo ni ngumu sana kukuelewa, ila uongo usizidi sana.
 
Imekuwa vizuri umemjua tabia yake mapema, kuliko ungekuwa nae na kuumia kichwa kwenye safari ya mapenzi. Kubali matokeo
 
Nj
njoo kwangu ila usiwe mgumu kushaurika
 
Utamwambiaje mwanamke ukweli?
 
mm sijisifiagi najishusha siku akiniona huwa awaaminigi sababu nilivyomwambia ni tofauti na nilivyo
 
Kama hujui sababu basi hii hapa uliongopa! Hukutakiwa kufanya hivyo in the first place...watu huchunguza
 
Umewahi sana kumwambia ukweli,wenzio hatuendi hivyo! Hawa wa sasa ukijifanya hujui kuongopa utasota sana mkuu...
 
Hahahaaaa!!labda ungemwambia we unabeba box angeeza kukuelewa.
 
Watanzani wengi wanapenda kudanganywa
Mambo ya uzushi
Ukisema ukweli ni taabu kwao.
Kwani hata hivyo ni mbeba zege? Alikuwa anampima kama anaweza kuwa ni mult purpose.
Ujue nini, demu anatakiwa awe mnyumbulifu. Aweze kuishi maisha ya aina yoyote hata yale yanayohitaji uvumilivu mkubwa.
Lakini mwanamke anayependa maisha mteremko. Yaani akute umeshavieneza, majumba, akaunti nono, miradi mikubwamikubwa bila ya yeye kuhangaika kwa jasho lake, basi mwanamke wa namna hiyo hafai hata kwa kulumangilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…