Dada wa JamiiForums hajibu PM zangu tena baada ya kumuambia kazi yangu kubeba zege

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,539
Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
 
49420.jpg


Avi yako pia inaweza kuwa imechangia.
 
Ndio mana wanatafuta kila siku na Hawapati

Wengine eti Mnuka Jasho

We mdanganye tu ule alafu usepe
 
Watanzani wengi wanapenda kudanganywa
Mambo ya uzushi
Ukisema ukweli ni taabu kwao.
 
Pendo eeh
Pendo mimi mumeo kazi yangu ni kibarua
Cha kuponda kokoto hapa mjini
Pendo eeh
Aaah aah pendo
Elimu yangu ya ngumbalu pendo
Kisomo changu cha mwembeni pendo
Noti nitazipata wapi
Ulipokuja kwetu kunioa ulikuja na mbwembwe nyingi
Na kusema wewe ni muhasibu wa kiwanda huko kwenu
Na pia una shamba kubwa na mifugo
Iweje leo uniambie wewe ni mponda kokoto?
Pendo toka enzi za mababu uongo ulitumika
Nb namkumbuka marehemu jerry Nashon"Dudumizi kwa kibao hiki.
 
hahahah nimeishia kucheka tuu,sasa alitaka uwe unafanya kazi gani au hajui kazi ni kazi? achana nae hajui anachotaka
hiyo hela mbona nzuri tuu unamshinda hata anavaa suit na tie..
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom