Dada, usiwaamini madereva Bolt

Dada, usiwaamini madereva Bolt

Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.

Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
Ulikuwepo eneo la tukio ndugu Shahidi namba moja?
 
Hiyo ni ambayo mmeona videos ila matukio hayo yanatokea mara nyingi. Kipindi napiga deiwaka bodaboda hizi stori nimezisikia sana.

Na muda mwingine unamchukua binti mnafika anapoishi anakuambia sina hela kama vipi twende ukanifire
😆😆

😆😆 Na mazoezi yote hayo atajutaaaa
 
Back
Top Bottom