Dada una sura nzurii.....

View attachment 702207 Kasie Mahaba.

Habari zenyuu,

Ndo naingia home hapa SA hooii,sasa nikiwa migration section pale airport iki nigongewe kuwa nimerudi nchini salama, nikamkabidhi passport yangu (aliyekuwa ananihudumia ni mdada).

Baada ya kuniuliza maswali kadhaa akaniambia niangalie camera, weka finger prints akagonga muhuri kwenye passport halafu akafungua ukurasa wenye taarifa zangu kuangalia mwaka wangu wa kuzaliwa na nilivyo..

Akanitazamaaa huku akiwa ameshikilia passport yangu kwa sekunde kadhaa. Aka tabasamu huku akisema.. Dada una sura nzuri. Sikutegemea usemi ule hasa kutoka kwa mdada. Nikajikuta natabasamu kuanzia pale nia nzima hadi home. Nikamwambia asante kisha nikachukua passport yangu huyo nikakamata Gautren hadi Sandton kisha nikachukua uber hadi home.

Njiani nikawa najiuliza..... kwani huyu dada kaniambia nina sura nzuri.....

Update:

Mara nyingi watu husema wadada ni ngumu sana kusifiana yaani huwa tunaoneana wivu. Lakini huyu dada kwa tabasamu alilotoa niliona alimaanisha kunisifia aidha kwa kulinganisha umri na sura akaona sura bado ina ahueni japo umri umeenda.

Najua wako ambao wanasifia kwa unafiki ile mtu anakwambia Umependeza wakati uko kama kituo. Kama kawaida yangu nilikuwa kawaida tuu sikuwa na makeup yoyote usoni zaidi ya lipstick na wanja. Huyu dada sifa yake haikuwa ya kinafiki tabasamu lake lilisema yote.

Kingine nikaona kuwa kweli wadada tunalewa sifa, wallah angekuwa mkaka ndo kanisifia ningempa namba yangu ya simu hehehehe.

Sio siri wadada tunasikia raha sana tukisifiwa hasa sifa ikiwa ya ukweli.... yaani hadi sasa kila nikiwaza natabasamu.

Kasie Kiuso hehehehehe.

Heeey, sijaweka huu uzi kujisifia bali nimeelezea kilichotokea. This pic below is real Kasie ..... nimeipiga lini jibu kwenye mabano hehehehhe

View attachment 702209

Kasie Mahaba.
Aise nipo Berea joburg Upo maeneo gani hapo ili nije kuhakiki kama kweli au alikufanyia uzushi tu
 
Sio wadada wote tusiowasifia wenzetu,mm ni mmojawapo sionagi taabu kumwamba ww Dada mzuri au kapendeza
 
Aise nipo Berea joburg Upo maeneo gani hapo ili nije kuhakiki kama kweli au alikufanyia uzushi tu

Ntakutumia location ya nilipo PM au ntakwambia jumamosi tukutane Mandela square mida ya lunch.
 
View attachment 702207 Kasie Mahaba.

Habari zenyuu,

Ndo naingia home hapa SA hooii,sasa nikiwa migration section pale airport iki nigongewe kuwa nimerudi nchini salama, nikamkabidhi passport yangu (aliyekuwa ananihudumia ni mdada).

Baada ya kuniuliza maswali kadhaa akaniambia niangalie camera, weka finger prints akagonga muhuri kwenye passport halafu akafungua ukurasa wenye taarifa zangu kuangalia mwaka wangu wa kuzaliwa na nilivyo..

Akanitazamaaa huku akiwa ameshikilia passport yangu kwa sekunde kadhaa. Aka tabasamu huku akisema.. Dada una sura nzuri. Sikutegemea usemi ule hasa kutoka kwa mdada. Nikajikuta natabasamu kuanzia pale nia nzima hadi home. Nikamwambia asante kisha nikachukua passport yangu huyo nikakamata Gautren hadi Sandton kisha nikachukua uber hadi home.

Njiani nikawa najiuliza..... kwani huyu dada kaniambia nina sura nzuri.....

Update:

Mara nyingi watu husema wadada ni ngumu sana kusifiana yaani huwa tunaoneana wivu. Lakini huyu dada kwa tabasamu alilotoa niliona alimaanisha kunisifia aidha kwa kulinganisha umri na sura akaona sura bado ina ahueni japo umri umeenda.

Najua wako ambao wanasifia kwa unafiki ile mtu anakwambia Umependeza wakati uko kama kituo. Kama kawaida yangu nilikuwa kawaida tuu sikuwa na makeup yoyote usoni zaidi ya lipstick na wanja. Huyu dada sifa yake haikuwa ya kinafiki tabasamu lake lilisema yote.

Kingine nikaona kuwa kweli wadada tunalewa sifa, wallah angekuwa mkaka ndo kanisifia ningempa namba yangu ya simu hehehehe.

Sio siri wadada tunasikia raha sana tukisifiwa hasa sifa ikiwa ya ukweli.... yaani hadi sasa kila nikiwaza natabasamu.

Kasie Kiuso hehehehehe.

Heeey, sijaweka huu uzi kujisifia bali nimeelezea kilichotokea. This pic below is real Kasie ..... nimeipiga lini jibu kwenye mabano hehehehhe

View attachment 702209

Kasie Mahaba.
Unaishi wapi kwa mfano?
 
Kasie...Kumbe wewe wa nyumbani!!!

Naona umetupia 'Chasu' hapo. Kwanza shikamoo, and you really are a Beautifull woman.

kaa henyu ni hiyo?

Haiyee, namanya chathuu kidorii, imi ni mcharoo si mwathuu.

Marahabaaa and thanks for the compliments.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom