Dada una sura nzurii.....

Dada una sura nzurii.....

Haya ngoja mi nihitimishe. Casie Nipm basi bibie nami nikusalimie peke yangu roho itulie. Caution: hiyo unayoiona ktk avatar ndio Sura yangu Halisi.

Hahahahaa zombi, sura sio issue kwa Kasie. ... vacation ndo mpango mzima.
 
Abeeh Analyse. ......
Ulifikisha salamu zangu?
Salam zilifika, anasema amekukumbuka sana. Pia kuna wimbo ulikuwa kama dedication, aliniambia nikwambie uuskilize. Bahati mbaya nimeusahau kidogo.
 
We mnyamwezi unaleta taabu sana wakati mwingine tupumzishe- ge bas japo aaaaarrrrrrrrrgh!

Ooh sorry. .... I didn't mean to disturb anyone here am so sorry. Can you please bare with me and switch off your data or wifi please..... so that atleast you get a rest.
 
Sasa ngoja mwanaume uambie na mwanaume mwenzio kuwa wewe ni mzuri alafu ni kweli, hapo patachimbika mpaka mabomu ya machozi yawatawanye.
 
Salam zilifika, anasema amekukumbuka sana. Pia kuna wimbo ulikuwa kama dedication, aliniambia nikwambie uuskilize. Bahati mbaya nimeusahau kidogo.

Jamanii kamuulize tena ni.wimno gani, I like musics please mwambie nampa kumbato motomoto na tabasamu mwanana lenye bashasha tele. I really missed you, how are you lakini? Am happy to see you here.
 
Sasa ngoja mwanaume uambie na mwanaume mwenzio kuwa wewe ni mzuri alafu ni kweli, hapo patachimbika mpaka mabomu ya machozi yawatawanye.

Hahahahahaha huko siingilii kwakweli.
 
Jamanii kamuulize tena ni.wimno gani, I like musics please mwambie nampa kumbato motomoto na tabasamu mwanana lenye bashasha tele. I really missed you, how are you lakini? Am happy to see you here.
Ngoja nitamuuliza tena. Nakumbuka ni wimbo wa zamani kidogo, umeimbwa na Celine Dion .. Sema jina ndio limenitoka. But usijali, ntakutajia badae.
 
Asante sanaa sanaa. Laters.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom