Hebu Nipm nione sura yako vizuri tafadhali maana nauona uzuri kwa mbali unakuja
hatari..Hahahaaaaaa sio kwa kauli hii bestKwa kujisifia tu hujambo
weka picha ya aliyekusifia.....tuanzie hapo....halafu unaonekana ni dizaini ya wale vibonge vibonge kila kitu kimeungana....tehe tehe..ila mnakuwaga na huruma na mapenzi sana nyie ndicho kinachowakosti..........
wamegomaaaaaaaa!!!!!!!Pole, mwambie jirani yako aliyeziona akutumie, wakigoma ntakutumia.
Kuna mada iliwahi kuletwa humu na mwanamke akidai amekitana na mwanamke mwenzie pahala fulani hawafahamiani wala nini lakini alimtamani ile mbaya ikafikia hatua ya kutamani angekuwa na uwezo wa kujiotesha ubor amdinye nao. Huenda nae huyo kakutamani Kasie matata toto la konyamwezi hahahaa
We mnyamwezi unaleta taabu sana wakati mwingine tupumzishe- ge bas japo aaaaarrrrrrrrrgh!Lipi tena...? Niambie basii hehehehe nnavopenda maneno mie looh.
Alitamaniwa huyo Ka.....matataNami nilikua na wazo kama hili. Maana SA wadada wanaoana. Nina hakika alikutamani.