Dada una sura nzurii.....

Dada una sura nzurii.....

Acha bhana!
Mwanamke mtu mzima anaelekea kwenye 50' zake, kuwa na babyface namna hiyo ni majaaliwa yakhe.
Wengi wenye umri wake, sura zao zilikwishakuchuma kunde tayari.
Huyo anajitunza, anafanya mazoezi na hana matumizi mabaya ya mwili wake zaidi ya sex, diet na love kwa raha na afya.
Kwanini akongoroke!
Wenziyo zaidi ya wawili ukisikia wakisifia kwamba fulani ni mzuri,waunge mkono kwa kusema 'ndiyo afande', maana saazingine jicho lako laweza kuwa na husda, linakunyima ushirikiano kwa kuuona uzuri (urembo) wa huyo dada mtu mzima.


Sawa ila Narudia tena, hata kama ana miaka 50 sioni uzuri wake. Yaani niunge tu mkono, kisa?
 
Uko sawa kabisa, macho yake si yako. Mke mwenyewe alinishangaza ila kwa kuwa wadada huwa tunasikia raha kusifiwa..... basi alinipa tabasamu mwanana usoni.


Ila kina dada kwa kweli mna matatizo ya akili....nashindwa kuwaelewa kabisa at times. Mnasema mnapenda kusifiwa, tukiwasifia mnakuja juu na hasira kedekede au la mnaanza kutuomba mizinga as if tumekuwa slaves wenu. Hivi mnasumbuliwa na nini vichwani mwenu?
 
Sura ipo tatizo huna chura!!!

Hehehehehee looh chura anavoruka ruka mtoni maji hayachoti kazi kuyatibua. .. sina hata hamu nayo.

Basi acha nibaki na bakulutu wangu nyie dot com endeleeni kurukishwa kichurachura.
 
Hehehehehee looh chura anavoruka ruka mtoni maji hayachoti kazi kuyatibua. .. sina hata hamu nayo.

Basi acha nibaki na bakulutu wangu nyie dot com endeleeni kurukishwa kichurachura.
Mahaba bila chura ni sawa na pilau bila kachumbari!
 
Dreaming of you - Celine Dion

Kwako Kasie

Woow.... yaani.....

Angekuja hapa hata aweke nukta tuu loooh

Saa ingine wanawake sijui tunakuwaje. .... yaani unakuwa na hisia na mtu kiasi kwamba hata ukikaa nae mkiwa mnapata chai ya jioni uwe unamtizama tuu na kutabasamu....

It's crazy but so sweet.

Misses you Tized.
 
Woow.... yaani.....

Angelina kuja hapa hata aweke nukta tuu loooh

Saa ingine wanawake sijui tunakuwaje. .... yaani unakuwa na hisia na mtu kiasi kwamba hata ukikaa nae mkiwa mnapata chai ya jioni uwe unamtizama tuu na kutabasamu....

It's crazy but so sweet.

Misses you Tized.
It's Crazy indeed but sweet.

Have a smile Kasie.

You're missed somewhere.
 
It's Crazy indeed but sweet.

Have a smile Kasie.

You're missed somewhere.

Sweet indeed.

Daah hadi najiramba midomo na kumung'unya ulimi.....
The missment is mutual..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom