Dada una sura nzurii.....

Dada una sura nzurii.....

Nataka nikiwa mkubwa niwe kama wewe, wewe ni mzuri shemeji anafaidi wallahi

Hahahahhahaa umenifurahisha ati niwe kama wewe hehehehehehe

Usijali, inakuja na package yake, uwe tayari kwenda nayo na kuigharamia.

Vacation partner huwa ananiambiaga kila ninapomfurahisha..... sitaki asali yangu umpe mtu.... hehehehehe.
 
Kumbe ndiyo maana nasikia Wazaramo wakiona mnyamwezi hukosa pumzi na kuwa wapole ghafla sana.
Pamoja na pyepyepye na tantarila zao, lakini kwa Mnyamwezi ni kiboko chake na huwa anaufyata na kuwa mdogo kama tembe la pilton.
Sasa sielewi undani wa simulizi hii unatokana na mishepu ya Kinyamwezi, ana nini hasa!
Embu Kasie tupe hint kidogo kuhusu hilo.

Mmmhhh hata sifahamu mwaya nnachojua haya makabila mawili ni watani. Maumbile ya kinyamwezi kweli ni ya aina yake ila kama umechanganya wazazi kama mie nakuwa sina umbile halisi la kinyamwezi nimepigwa pasi sababu mama yangu si mnyamwezi.
 
Hahahahhahaa umenifurahisha ati niwe kama wewe hehehehehehe

Usijali, inakuja na package yake, uwe tayari kwenda nayo na kuigharamia.

Vacation partner huwa ananiambiaga kila ninapomfurahisha..... sitaki asali yangu umpe mtu.... hehehehehe.

tehe tehe tehe niko tayari, hongera
 
weka picha ya aliyekusifia.....tuanzie hapo....halafu unaonekana ni dizaini ya wale vibonge vibonge kila kitu kimeungana....tehe tehe..ila mnakuwaga na huruma na mapenzi sana nyie ndicho kinachowakosti..........
 
hz picha mkuu [HASHTAG]#kasie[/HASHTAG] zimenigoma kufunguka kwny pc nitumie PM
 
Na ni nyie wanyamwezi ndio nilijua kumbe harage likikunwa vema likakunika na kufurahi huwa linasimama baana! ( check check check kisssm kimesimama dia check check) nimemnukuu mnyamwezi yule wakati tunatiana - wakati huo macho yetu wote yapo kodoo kushuhudia kilivonyanyuka- Mengine tutaongelea pm
Watu mnavituko jamani
JF sibanduki
 
Uko sawa kabisa, macho yake si yako. Mke mwenyewe alinishangaza ila kwa kuwa wadada huwa tunasikia raha kusifiwa..... basi alinipa tabasamu mwanana usoni.
Asikuchanganye huyo, kwa picha yako hapo juu wewe ni mzuri mashalaa!
 
View attachment 702207 Kasie Mahaba.

Habari zenyuu,

Ndo naingia home hapa SA hooii,sasa nikiwa migration section pale airport iki nigongewe kuwa nimerudi nchini salama, nikamkabidhi passport yangu (aliyekuwa ananihudumia ni mdada).

Baada ya kuniuliza maswali kadhaa akaniambia niangalie camera, weka finger prints akagonga muhuri kwenye passport halafu akafungua ukurasa wenye taarifa zangu kuangalia mwaka wangu wa kuzaliwa na nilivyo..

Akanitazamaaa huku akiwa ameshikilia passport yangu kwa sekunde kadhaa. Aka tabasamu huku akisema.. Dada una sura nzuri. Sikutegemea usemi ule hasa kutoka kwa mdada. Nikajikuta natabasamu kuanzia pale nia nzima hadi home. Nikamwambia asante kisha nikachukua passport yangu huyo nikakamata Gautren hadi Sandton kisha nikachukua uber hadi home.

Njiani nikawa najiuliza..... kwani huyu dada kaniambia nina sura nzuri.....

Update:

Mara nyingi watu husema wadada ni ngumu sana kusifiana yaani huwa tunaoneana wivu. Lakini huyu dada kwa tabasamu alilotoa niliona alimaanisha kunisifia aidha kwa kulinganisha umri na sura akaona sura bado ina ahueni japo umri umeenda.

Najua wako ambao wanasifia kwa unafiki ile mtu anakwambia Umependeza wakati uko kama kituo. Kama kawaida yangu nilikuwa kawaida tuu sikuwa na makeup yoyote usoni zaidi ya lipstick na wanja. Huyu dada sifa yake haikuwa ya kinafiki tabasamu lake lilisema yote.

Kingine nikaona kuwa kweli wadada tunalewa sifa, wallah angekuwa mkaka ndo kanisifia ningempa namba yangu ya simu hehehehe.

Sio siri wadada tunasikia raha sana tukisifiwa hasa sifa ikiwa ya ukweli.... yaani hadi sasa kila nikiwaza natabasamu.

Kasie Kiuso hehehehehe.

Heeey, sijaweka huu uzi kujisifia bali nimeelezea kilichotokea. This pic below is real Kasie ..... nimeipiga lini jibu kwenye mabano hehehehhe

View attachment 702209

Kasie Mahaba.
Hebu Nipm nione sura yako vizuri tafadhali maana nauona uzuri kwa mbali unakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom