Dada una sura nzurii.....

Dada una sura nzurii.....

Dogo kuna watu wa kukosoa sio THE LIST..huwa sikurupuki katika maneno iwe ni verbally or none

Nikusaidie, ninaposema Geutrain sikubahatisha labda aliyekusimulia muulize mara ya mwisho kuwa Bondeni ni lini?

Wenyeji wa SA wanajua kuwa kuanzia miaka ya 2000 kumekuwa mabadiliko makubwa ya majina ya mitaa,airports, miji n.k

wenyew wanasema majina ya mitaa hiyo ni matokeo ya 'architect of apertheid' na hivo wamekuwa wakifanya mabadiliko kuendana na historia zao za mageuzi ya kijamii na kiteknolojia kama iyo reli.

leo hii ata huduma za TVM za malipo ya tickets zimekuwa adjusted, Gautrain imekuwa embraced kama jina la mji since njia hiyo ya reli kukamilika.

Pretoria yenyew saivi inaitwa TSHWANE unalijua hilo? 'Wena silima' mtafute m'zulu akutafsilie iyo empty set kabisa!!


Sawa bwana @connor, siwezi ubishi na wewe!
 
Kasie huwa hatungi ni masimulizi ya matukio yaliyomtukia.
Picha nshaweka hapo juu na si kuwa Kasie ni mzuri au mrembo hapana bali naona yule afisa aliona labda sura yangu na umri haviendani.
Am not that cute, don't exaggerate Kasie is an old granny.
Hahaha sawa naona umeupdate aiseee
 
Unazeeka na utamu wako wallah , I am 25 yrs nw ..... ila kwa ulivo kisu nipo tayari tuzeeke pamoja.... kasie mcute
 
Sawa bwana @connor, siwezi ubishi na wewe!
Karibu tena, ila binafsi sikuwa nabishana nilikuwa 'nakurekebisha' maana nilivosoma reply yako tu nikajua huna lolote unalojua kuhusu Bondeni zaidi ya stori za kusimuliwa kama ilivo kwa mleta uzi.wena silima!!
 
View attachment 702207 Kasie Mahaba.

Habari zenyuu,

Ndo naingia home hapa SA hooii,sasa nikiwa migration section pale airport iki nigongewe kuwa nimerudi nchini salama, nikamkabidhi passport yangu (aliyekuwa ananihudumia ni mdada).

Baada ya kuniuliza maswali kadhaa akaniambia niangalie camera, weka finger prints akagonga muhuri kwenye passport halafu akafungua ukurasa wenye taarifa zangu kuangalia mwaka wangu wa kuzaliwa na nilivyo..

Akanitazamaaa huku akiwa ameshikilia passport yangu kwa sekunde kadhaa. Aka tabasamu huku akisema.. Dada una sura nzuri. Sikutegemea usemi ule hasa kutoka kwa mdada. Nikajikuta natabasamu kuanzia pale nia nzima hadi home. Nikamwambia asante kisha nikachukua passport yangu huyo nikakamata Gautren hadi Sandton kisha nikachukua uber hadi home.

Njiani nikawa najiuliza..... kwani huyu dada kaniambia nina sura nzuri.....

Update:

Mara nyingi watu husema wadada ni ngumu sana kusifiana yaani huwa tunaoneana wivu. Lakini huyu dada kwa tabasamu alilotoa niliona alimaanisha kunisifia aidha kwa kulinganisha umri na sura akaona sura bado ina ahueni japo umri umeenda.

Najua wako ambao wanasifia kwa unafiki ile mtu anakwambia Umependeza wakati uko kama kituo. Kama kawaida yangu nilikuwa kawaida tuu sikuwa na makeup yoyote usoni zaidi ya lipstick na wanja. Huyu dada sifa yake haikuwa ya kinafiki tabasamu lake lilisema yote.

Kingine nikaona kuwa kweli wadada tunalewa sifa, wallah angekuwa mkaka ndo kanisifia ningempa namba yangu ya simu hehehehe.

Sio siri wadada tunasikia raha sana tukisifiwa hasa sifa ikiwa ya ukweli.... yaani hadi sasa kila nikiwaza natabasamu.

Kasie Kiuso hehehehehe.

Heeey, sijaweka huu uzi kujisifia bali nimeelezea kilichotokea. This pic below is real Kasie ..... nimeipiga lini jibu kwenye mabano hehehehhe

View attachment 702209

Kasie Mahaba.
Kasie umependeza mashallah
 
Karibu tena, ila binafsi sikuwa nabishana nilikuwa 'nakurekebisha' maana nilivosoma reply yako tu nikajua huna lolote unalojua kuhusu Bondeni zaidi ya stori za kusimuliwa kama ilivo kwa mleta uzi.wena silima!!
Bondeni ndio wapi mkuu huko Mabibo au?
 
Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
Ushawahi kumsifia mwanaume mwenye kibamia?
 
Kweli wewe.ni.mzuri maana umri wako ni mkubwa kuliko vita ya ug na tz
 
Tatizo lako limekuwa kubwa saiv kias umeshindwa kumuuliza aliyekuona unakuja kuuliza apa ambao hata hawakufaham..

Rudi ukamuulize aliyekuambia iyo mitaa..hapaitwi GAUTREN NI GAUTRAIN..Empty set!
The list the bichwa bange all the time
 
Unazeeka na utamu wako wallah , I am 25 yrs nw ..... ila kwa ulivo kisu nipo tayari tuzeeke pamoja.... kasie mcute

Hahahaa assnte rafiki, mwenzako nina allergy sana na umri, hivo nisamehe tuu ukubalianena hali halisi. Ntastaafu na wazee wenzangu.
 
Kwakweli si haba pamoja na kwamba umri umeenda bado unatafunika vizuri sana, lips zinaongea

Hahahaaa hapo nimezikoki na lipstick, nikitoa hiyo heheheee........ thanks for the compliments anyways.
 
Umri umeenda wapi wakati bado mchumba tu, kwa picha hiyo.
 
Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
Tushaambiws kuwa we ni shushushu, umefata namba na taarifa za watu humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom