Dada na mdogo wake

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Sina kawaida ya kupost new post usiku ila hii imenibidi.

Ni hv nina rafiki yangu kipenzi wa kike tulikuwa wote mzumbe ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof wa hapo chuo nje ya ndoa, mume wa dada yake akashitukia issue dada mtu akambembeleza mdogo mtu aokoe jahazi kuwa prf ni wake na si wa dada kakubali kwa bahati mbaya mke wa prof akafariki. Prof akaamua kuchukua jumla mdogo mtu baada ya mwaka na zaidi hv.

Sasa isue iko kwa dada mtu kaenda kumwomba mdogo mtu kiac fulani cha pesa akaambiwa hana mambo yake safi lkn dada kaja juu ugomvi na kumwambia kuwa bila mimi ungefika hapo ulipo? ni taabu kwenda mbele hawaongei kabisa ni balaa kweli kaniuliza afanyeje nimemwambia asubiri nitampa jibu kesho nisaidieni nimwambieje??

Umalaya upo kwenye familia hao

na huyo mke wa prof alikufa kwa ugonjwa gani?

Sina kawaida ya kupost new post usiku ila hii imenibidi. Ni hv nina rafiki yangu kipenzi tulikuwa wote mzumbe ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof wa hapo chuo nje ya ndoa, mume wa dada yake akashitukia issue dada mtu akambembeleza mdogo mtu aokoe jahazi kuwa prf ni wake na si wa dada kakubali kwa bahati mbaya mke wa prof akafariki. Prof akaamua kuchua jumla mdogo mtu baada ya mwaka na zaidi hv. Sasa isue iko kwa dada mtu kaenda kumwomba mdogo mtu kiac fulani cha pesa akaambiwa hana mambo yake safi lkn dada kaja juu ugomvi kwa kwenda mbele hawaongei ni balaa kweli kaniuliza afanyeje nimemwambia asubiri nitampa jibu kesho nisaidieni nimwambieje??

My dia ngoja nirudie kusoma . . . :coffee:

Ni kwamba prof alikuwa na mke, halafu mke wake akafariki. Halafu dada mtu aliyekuwa anatoka na prof naye kaolewa? I'm bewildered. Need to straighten out the story...

DA hata mimi sijakusoma vizuri!!Tatizo ni mdogo mtu kuchukuliwa jumla na prof au kukataa/shindwa kumsaidia dada yake???

DA hata mimi sijakusoma vizuri!!Tatizo ni mdogo mtu kuchukuliwa jumla na prof au kukataa/shindwa kumsaidia dada yake???

shida ni kwamba mdogo mtu hapo alipofika mambo safi kumzidi dada ni kwa sababu ya dada yake kwanini asimpe msaada wakati yeye ndo kamwezesha kufika hapo?

mzaz kama cjaielewa flesh ila cha mcng mwambia a2lie kwanza mana dada yake anahasira hvyo zk2lia ndo aongoee nae ila aendelee kumsisitiza atampa

shida ni kwamba mdogo mtu hapo alipofika mambo safi kumzidi dada ni kwa sababu ya dada yake kwanini asimpe msaada wakati yeye ndo kamwezesha kufika hapo?

Hehehhehe...kamfikisha kwani alimuunganishia au alitaka kuepuka zali kwa upande wake!!
Newayzz inawezekana ana mambo yake anafanya kwahiyo hana uwezo wa kumsaidia.....!!Alafu kitendo cha kumkasirikia mwenzake kisa hajamsaidia kwa mawazo kwamba yeye ndo amemfikisha hapo ni utoto.....atafute njia nyingine!!Au amuombe tena kwa utaratibu na ustaarabu zaidi maana inawezekana alianza kwa gia ya ''ni kwasababu yangu uko hivi kwahiyo naomba unisaidie!!''

kakuuliza afanyeje dada mtu au mdogo mtu? ...mhh kwa mtindo huo hata mdogo mtu anaweza hata kutembea na mume halisi wa dada mtu. ila tukija kwenye mada yetu nadhani dada mtu ana wivu fulani ila hana jinsi na atakuwa amemwomba kiasi kikubwa mdogo wake ambacho anahisi hawezi kumpatia kama njia ya kumtafutia hila tu au akamzulia jingine.

Sina kawaida ya kupost new post usiku ila hii imenibidi. Ni hv nina rafiki yangu kipenzi tulikuwa wote mzumbe ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof wa hapo chuo nje ya ndoa, mume wa dada yake akashitukia issue dada mtu akambembeleza mdogo mtu aokoe jahazi kuwa prf ni wake na si wa dada kakubali kwa bahati mbaya mke wa prof akafariki. Prof akaamua kuchua jumla mdogo mtu baada ya mwaka na zaidi hv. Sasa isue iko kwa dada mtu kaenda kumwomba mdogo mtu kiac fulani cha pesa akaambiwa hana mambo yake safi lkn dada kaja juu ugomvi kwa kwenda mbele hawaongei ni balaa kweli kaniuliza afanyeje nimemwambia asubiri nitampa jibu kesho nisaidieni nimwambieje??

shida ni kwamba mdogo mtu hapo alipofika mambo safi kumzidi dada ni kwa sababu ya dada yakekwanini asimpe msaada wakati yeye ndo kamwezesha kufika hapo?

...duhh, huyo dada mtu yupo so manipulative.
Keshaambiwa hana sasa yeye haelewi nini?

Mdogo mtu nae sasa ana wasiwasi gani, au anajishuku yeye ni reserve player tu?
anahisi Professor anajikumbushia kwa dada?

Asikubali kuwa victim bana,
atakuwa emotional blackmailed maisha yake yote.

Ngoja nijaribu kumuelewa huyu..
Ana rafiki yake kipenzi (Haijajulikana ni KE/ME) ambaye walikuwa wanasoma wote mzumbe, Ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof (Dada wa rafikie kipenzi ambaye ameolewa) Mumewe na huyu dada akashtukia ishu kuwa mkewe anachakachuliwa na prof. sasa ili dada aue soo na Mumewe asishtukie picha nzima ikabidi huyu dada ambaye anachakachuliwa na prof ambembeleze mdogo wake wa kike ili azuge kuwa yeye ndio anayechakachuliwa ili mumewe asilete soo.. na mdogo wake akakubali kuzuga na prof for the time being..kwa bahati mbaya mke wa prof akafariki na prof akaamua kugeuza trial version kuwa full vertion (akaoa kabisaaa).. na sasa ishu inaonekana kuwa prof kipato chake kiko fresh huyu dada aliempigia pande mdogo wake anaomba asaidiwe pesa na mdogo wake but mdogo wake anasema hana (japo kuwa mambo yake safi) means anaona kanyimwa tu makusudi.. hapo ndo dada yake haelewi kwa nini anyimwe pesa ? na wakati yeye ndo kapiga pande ? japo alitaka mambo yaishe tu ili waendelee na prof wake...sasa ndo anataka ushauri afanyeje ili ushauri alioombwa aufikishe kwa muhusika..

Dah! sijui ndo nimewamix zaidi lakini mie ndo nilivyoelewa mazee.. mkinielewa ntafurahi kweli maana hapa ni saa 12:43AM (usiku) na nina kama chupa mbili za castle moto zinatakiwa kwisha...

mtu mzima na akili zake anaruhusu mdogo wake wa kike alale na mwanaume ambaye ameshalala nae? kwa hiyo inawezekana huyo prof akawa anaendelea kuchakachua wote wawili si alianza na dadamtu?

kama cjakosea huyo lazima atakua prof. w malovidove....2 in one!!!

Back
Top Bottom