Dada na mdogo wake

:gossip:mwambie kuwa ili waende sawa aendelee kuliwa uroda na Prof pia.....atapata hizo pesa.
 
sipati picha kulala na mume wa dada yangu, yaani wanaume wote hawa mitaani mpaka tuchangie mwanaume na ndugu yangu? lol! hiyo familia ni balaa................. hata kuwashauri hakuna maana................ wanajuana
 
Kweli makubwa madogo yana nafuu ahhh
MR , usishangae hawa ni kama askari wanakuwa tayari katika wakati unaofaa na usiofaa. Hapo jiulize binadamu wanavyochezeana akili na kujiona washindi halafu mwisho wake anajikuta yeye mwenyewe amechanganyikiwa na kuanza vituko badala ya kusherehekea ushindi.
Hivyo basi lazima tutambue kuwa ‘ kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti (Yakobo 1:14-15).'
 
sipati picha kulala na mume wa dada yangu, yaani wanaume wote hawa mitaani mpaka tuchangie mwanaume na ndugu yangu? lol! hiyo familia ni balaa................. hata kuwashauri hakuna maana................ wanajuana
Heri umenena FP, Hata kama umefuzu kiwango kipi cha Ushauri wa Binadamu , Kushauri hii variety ya binadamu utaonekana kilaza tu.
 
wakashauriane na dada yake, si ndo walishauriana wakati wanaamua kumchakachua prof wa watu? DA, kama hawa ndo ma-best friend wako itabidi nimsake BE sasa hivi kumwambia kuhusu hili, maana inaonekana wewe pia ulikuwa unalijua hili kabla hawajaingia huko.
 
Ha ha ha acha unoko wewe. Nilikuwa nae chuo sikuona hayo tukaendelea na urafiki

Mimi huku nilipo ni mbaliiii sana my dear hata alivyoniambia kwa mara ya kwanza nilichoka mwenyewe ndo maana hata jana alivyoniandikia email alinichanganya nikashindwa cha kumjibu maana hakutenda haki
 
asavali umenitoa wasiwasi, maana sasa nilikuwa nafikiria kama huyu ndo best friend basi BE ahesabu maumivu......... huyo rafiki yako achana naye, huna la kumshauri maana tayari yupo ndani ya ndoa aliyoichakachua, na ategemee naye kuchakachuliwa hivyo hivyo
 
BE anajua kama mie sipo hivyo. Bwana wewe mwenzio jana yalinishinda kwanza nilipata mshituko nilipoona email yake. Nadhani atakuwa ameona sikupenda maana hajaniandikia kuniuliza vipi.
 
wakashauriane na dada yake, si ndo walishauriana wakati wanaamua kumchakachua prof wa watu? DA, kama hawa ndo ma-best friend wako itabidi nimsake BE sasa hivi kumwambia kuhusu hili, maana inaonekana wewe pia ulikuwa unalijua hili kabla hawajaingia huko.

FP unajua alipo BE nishamtafuta sijampata sijui kakumbwa na nini
 
hajaenda likizo kweli? wewe ndo nilitegemea utajua yuko wapi maana tulishakukabidhi. au mama E kagundulia dili so kapigwa stop hapa JF? just thinking!
 
Hawezi kuwa kagundua yule anajua mbinu za kivita nilihisi kapigwa stop MMU nimekwenda kila jukwaa hata ambayo huwa siendi sijamuona. Mapenzi haya taabu tupu
 
Hizi posting Via Mobile bana...

Mi hii sredi sijaielewa kabsaaaaa!
 
Hapa inaonekana Prof kakata mzizi kwa huyo mkubwa vinginevyo angeenda huko straight akamaliza shida zake....huyu mkubwa ni tatizo from the start...aliwezaje kuliwa na mwalimu huku akiwa kaolewa?...halafu akamuuza nguguye....mwambie huyu mdogo aendelee na maisha aliyoyachagua na kuyakubali...hujatuambia lakini mke mkubwa wa prof alikufa na nini..
 
Back
Top Bottom