Dada mkuu wa darisalama

Kuna mademu wengine wanajichukia sana kukoswa msamwanda maana kwa sasa mwanamke bila msamwanda ni sawa na mwanaume asie na pesa mademu wazuri utaishia kutizama tu
 
Punga lile linabaki kula kwa macho na kusubiri kupewa busu


ila nae mkewe ana sura hiyo na amepangika vema tuu alikosea njia tuu dada wa watu
 

 
Hata kama ningekuwa mm nisinge mshika,hongera mkuu apo unapata RAHA kwingne kuna raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…