Dada mkuu wa darisalama

Dada mkuu wa darisalama

Lawama nyingine hazina maana kabisa. Yaani knamlaumu mtu kuangukia sehemu kama hii. Hivi ndege ikipasuka angani kuna abiria atachagua kuanguka nchi kavu? Si kila mtu atamwomba Muumba wake aangukie kwenye maji? Kwa hapa "mungu" wa Dar umepatia mwaya wala wasikuzodoe, kamatia chini!!
Nyakyusa girl kwakweli aggy amejaaliwa but 0 brain hajui kutumia msambwanda wke akachukue hta ushauri kwa vera sidika tena wa vera ni fake lkn anaogelea midola!!!!
 
mara hawez mara anademu,, watu kama hawa ndo wanatuharibia nchi kwa fikira chakavu,, wao kazi yao kutafta umbea tu,,eboooo ebu twendeni na RC
 
Binadamuu! Jeuri yetu ni ndogo Sana hapo siku ya kufa hakuna atakayependa hata kumsogelea, uzuri wote umbo lote zuri litakuwa thaman ya funza na udongo...

Hao wanaomtaman sasa na wanaomfaidi siku ikifika watamwogopa na hata kukwepa kaburi lake....

Hata kuwa na rafiki tena wala Mtu anayempenda giza totoro upweke na adhabu ya kaburi ndio vitakuwa karibu take...
Haya maisha Haya
 
Anajua kufua huyu?,Anajua kupika hyu?Anajua kufagia na kupiga deki huyu?Asije kuwa uzuri wa umbo tu mengine ikawa majuto mujukuu,mtizamo wangu me tu.
 
Hivi uyu masogange si itakuwa hata kwa Tigo ya 0713....anapatikana?

maana si matashtiti hayo
 
Huyu si juzi tu alisema ameokoka,haya ndiyo mavazi ya mlokole haya?
Saizi,Tofauti ya Mlokole na ambaye sio Mlokole ni ndogo sana hasa katika mavazi.

Wanadai Wanakwenda na Wakati.
 
Ama kweli Maanani Hakosei,
Laki si pesa haha Kiuno kimejinyoga kama Roundabout ya Msimbazi,katoboa Kitovu,vikuku Miguu yote hivi kweli (Rc) anasitahili kumuchezea mpaka sehemu za siri..?
 
wewe unazani kondakta huwa anakataa wanafunzi wote? wengine hasa wadada wa jangwani huwa wanapandishwa tena bila kulipa nauri
 
Back
Top Bottom