Dada mkuu wa darisalama

Hatamu20

Member
Jun 18, 2016
82
72
Lakini jamaa anafaidi
agness Masogange.jpg
 
Katika kumlaumu bwana Madereva hili siwezi kumlaumu hata chembe, tamlaumu kwa mengine ila hili taungana naye najua hata wabunge katika hili wanamuunga mkono pia. Wapo walioenda mbali zaidi na kusema kwanini hakumjengea kagorofa kule upepo unakovuma unaenda kumlipia kodi kwenye vumbi huko.
 
Lawama nyingine hazina maana kabisa. Yaani knamlaumu mtu kuangukia sehemu kama hii. Hivi ndege ikipasuka angani kuna abiria atachagua kuanguka nchi kavu? Si kila mtu atamwomba Muumba wake aangukie kwenye maji? Kwa hapa "mungu" wa Dar umepatia mwaya wala wasikuzodoe, kamatia chini!!
 
Back
Top Bottom