isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 826
taja mwiko mmojaacha ubwege wewe? ndiyo tatizo la vijana walio kosa mafunzo ya wajomba. kuacha kitu kama hiyo ni mwiko mkubwa sana kwa mtoto wa kiume. ukikataa kubali kuhitwa shoga au jogoo awiki.
taja mwiko mmojaacha ubwege wewe? ndiyo tatizo la vijana walio kosa mafunzo ya wajomba. kuacha kitu kama hiyo ni mwiko mkubwa sana kwa mtoto wa kiume. ukikataa kubali kuhitwa shoga au jogoo awiki.
kuwa makini. Amekwambi ya maana.Ahsante, nitazingatia neno kwa neno
Kuwa na mahusiano na mtu flani haimaanishi kwamba hamuheshimianiSometimes mambo mengine yanashangaza sana, dada yangu anafanya biashara na dada flani kitambo tu na tunafahamiana vizuri, mwanzoni alikuwa ananiita kaka ila siku hizi ananiita Shem hii ni baada ya mdogo wake kuja kuishi naye.
Mwanzoni alinambia nataka uwe shem wangu kwa hiyo ongea naye dogo atakuelewa tu nikamwambia poa kisha nikapotezea, sasa hiyo siku dada kanipigia tukaongea kisha akanambia ongea na dogo, nikashindwa kukataa, katika kuongea naye nikamtongoza maana mtoto mwenyewe 'sio wa nchi hii' ila mtoto akavunga, baadaye dada kanipigia anauliza vipi nikamwambia bado somo halijamuingia vizuri akasema usjali.
Kesho yake akapiga akampa tena kuongea naye akaelewa, hata sijui alimpanga vipi, sasa huyu mtoto sikuwa na mawazo naye kabisaa je, nikimgonga sina future naye si ndio mwanzo wa kutengeza uhasama huu, na madada wa humu unaweza fanya kitu kama hiki au ulishawahi kufanya?
NOTE: Huyu dada tulikuwa tunaheshimiana sana before.
Nisubiri twende wotemm napit tu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji4] [emoji4]kwani wewe unataka uombwe baada ya muda gani? kwangu siku tatu tu zinatosha, inabidi upajue home
haya umesikika[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji4] [emoji4]
We ndio fala kweli.......
Mm mwanaume nawaambia wanaume kama si wavulana wenzangu mbadilike acheni tabia yenu ya kuomba papuchi mapema ikiwezekana oa kabisa ujilie vzuri au kaa hata mwaka 1&3 ndio umuombee nyapu.....
[emoji4] [emoji95] [emoji379]
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]acha ubwege wewe? ndiyo tatizo la vijana walio kosa mafunzo ya wajomba. kuacha kitu kama hiyo ni mwiko mkubwa sana kwa mtoto wa kiume. ukikataa kubali kuhitwa shoga au jogoo awiki.
Kama unataka kumla tu(of which haitopendeza) maana ushasema interest nae huna.mbona unaongea kwa code, wengine sio wataalamu wa kukonekti doti, halafu hapo kwenye doti doti ungepamalizia
[emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1]Mungu wangu!!!!!
Ndio umeyaleta huku???mbona nilikuamini sana?
Kuanzia leo nisione unaniita dada,na huyu dogo hutamskia tena.
Hahahahaaa...[emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1]
Una mikwara wewe.........
Hata sasa unaweza...Ningekuwa mimi ningejitunza nisitembee na mwanamke mpk ndoa.
Najitahidi kubadilika...........wewe umebadilika.......kweli?
Mwenzio kesha paniki asije enda kuchanganya mada huko akidhani kweli............